WEMA AWAGOMBANISHA DIAMOND, PREZZO
Stori: Musa Mateja RAIS wa Wasafi Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ yuko ndani ya bifu zito na mwanamuziki kiwango cha juu kutoka nchini Kenya, Jackson Ngechu Makini ‘Prezzo’ chanzo kikidaiwa ni Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu. Diva wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu 'Beautiful Onyinye'. Bifu la wawili hao limekuja kufuatia madai kwamba, Prezzo amemtundika Diamond kwenye mtandao akimkejeli kwa kitendo...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLTIFFAH AWAGOMBANISHA DIAMOND, ZARI
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Sentensi za Diva kuhusu Prezzo na Diamond Platnumz kwenye interview ya Mkasi Dec 21,2015
Mtu wangu kama hukuwa karibu na TV yako kuangalia show ya Mkasi on EATV December 21, 2015 usiku hizi ni sentensi za Mtangazaji wa Clouds FM, Diva aka The Bawse kuhusu uhusiano na rapper kutokea Kenya Prezzo pamoja na ugomvi uliotokea Agosti 24, 2015 kwenye kipindi cha XXL kati yake na Diamond Platnumz. ‘Kwanza Prezo tulikuwa […]
The post Sentensi za Diva kuhusu Prezzo na Diamond Platnumz kwenye interview ya Mkasi Dec 21,2015 appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Bongo Movies14 Aug
"Kimenuka kwa Diamond" Mashabiki wa Wema wamtaka aache 'kumtumia' Wema kibiashara.
Kundi la watu wanaojiita mashabiki wa Wema Sepetu, limeanzisha kampeni kwenye mtandao mmoja wa maarufu wa kijamii kampeni iliyopewa jina la #BringBackOurWema likimshinikiza mpenzi wake Diamond Platnumz amrudishe kwenye maisha yake ya zamani na kukuza career yake ya filamu.
Mashabiki hao wanaamini kuwa Diamond anampoteza Wema na amekuwa akitumia umaarufu wake (Wema) kujidhatiti zaidi yeye huku Miss Tanzania huyo wa zamani akiendelea kudidimia.
Hivi ndivyo maelezo...
10 years ago
Bongo Movies21 Jun
Mzee Majuto Amuunga Mkono Wema Sepetu, Diamond Amtaka Wema Abadilike Kama Kweli Anautaka Ubunge
Mzee Majuto kwa mara ya kwanza ameamua kufunguka kumuunga mkono Wema Sepetu kwa nia yake ya kutaka kuwa mbunge.Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Mzee Majuto ameandika;
Nisingependa kuyaongea haya kwenye mfungu mtukufu ila kiundani ningependa kuonyesha umoja na kumuunga mkono wazo na lengo la Mwanangu kwa kuwa anaweza na amethubutu sasa isitokee wale wasiopenda maendeleo ya watu na taifa hili kuvuruga misingi na mipango madhubuti ya kuwapa nafasi vijana na hasa wanawake kushika hatamu na...
10 years ago
Vijimambo10 Jun
SUPER STAR DIAMOND AFUNGUKA LIVE: BORA NIFE KULIKO KUMRUDIA WEMA, WEMA NAYE AJIBU MASHAMBULIZI ILE MBAYA
KIAPO! Kuonesha kwamba hana mpango wa kurudi nyuma, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ amefungukia msimamo wake juu ya mwandani wake wa zamani, Wema Sepetu ‘Madam’ kwa kusema kuwa kamwe hawezi kumrudia tena, Risasi Jumamosi lina mkanda kamili.Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’.Licha ya Diamond kufunguka hayo, wawili hao wamekuwa na mapenzi ya vipindi, kuna wakati waliwahi kumwagana kisha kurudiana na hakuna aliyewahi kutoa tamko zito lakini safari hii...
10 years ago
Dewji Blog22 Dec
10 years ago
VijimamboWema Sepetu Atoswa ! Vikao Vya Harusi Ya Diamond Na Meninah Vyaanza Nyumbani Kwa Mama Diamond.
9 years ago
GPLDAVIDO AWAGOMBANISHA MASOGANGE, DIVA