DIAMOND, MAMA’KE, ZARI WALA BATA SAUZ
![](http://api.ning.com:80/files/Ov90wJC7zCwdpm8ZUcf4wFKLBZvgxDI8ErEqwpbDjRccYRdRyuE5RljNPnMbqaSGJVcwJGiJOzRd8j4eGC9FdQHBCur-sBa9/diamond.jpg)
Stori: Imelda Mtema GOOD time! Katika hali ya kushangaza, mkali wao ndani ya Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, mama’ke (Sanura Kassim ‘Sandra’) na mama la mama, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wamekutana pande za Sauz na kuponda raha, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo. Mkali wao ndani ya Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akila bata na mtoto mzuri, ‘Zari The...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo504 Sep
Picha: Mama Diamond na mama Zari walipokutana kwenye ‘state house’ ya Platnmuz
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/h04tScqf3LbCH33paT4F2ykljuHykgMtbLZ6SOdLaiMdfX0fXnfrkvFWZ1o5lvkkmpBcJq3HZcuUXjdGVhZoptfcjeP4HDET/MamaDiamond.jpg)
MAMA DIAMOND AMKIMBIA ZARI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8Kb*1kVFSTvOpcy9nx*k53zRGxnem5qulA7P0YFfk6rLO8i7YLbrzUIrDOkhMkbyRdww6vmGC-gRbiCk5pNDtypcerruejM-/Zari.jpg)
ZARI ALALA KWA MAMA DIAMOND
9 years ago
Global Publishers07 Jan
Mama Diamond kurudi Tandale, kumpisha Zari
Zarinah Hassan ‘Zari’ au mama Tiffah.
KUNA madai kwamba, mama wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kasim ‘Sandra’ yupo katika maandalizi ya kuhamia kwenye makazi ya Tandale alikokuwa akiishi zamani ili kumpisha mwanye na mama mtoto wake, Zarinah Hassan ‘Zari’ au mama Tiffah kwenye makazi ya Madale jijini Dar.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, mama huyo au bibi Tiffah amefikia uamuzi huo ili kuepusha lolote linaloweza kutokea kwa kukaa beneti na mkaza mwanaye kwa vile ulimi hauna mfupa...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t3tIV4vY4JpfqTh2CgKFAKxnhYfMDdCdWkjNNbPD*9L5KLWcv0NkG1ObohNXgqYdtIjkTiTr4BckCSyCx3BL3KxiAYDDu1Qe/tuzo2.jpg?width=650)
MAMA DIAMOND AMFUNIKA ZARI KWA MBIZI
10 years ago
CloudsFM09 Feb
Wema ajiachia Sauz na ‘’mume’’ wa Zari
Kumekuwa na sintofahamu baada ya picha za Staa wa filamu za Kibongo,Wema Sepetu akiwa na aliyekuwa mume wa mpenzi wa sasa wa Diamond Platnumz,Zari,Ivan kusambaa mtandaoni wakiwa nchini Afrika Kusini.
Hiyo picha inamwonyesha wema akiwa na Ivan lakini inaonekana si picha rasmi mpango unaonekana ulikua wa siri sana kwani inaonekana kama imepigwa wahusika hawakuwa tayari.
11 years ago
Tanzania Daima17 Feb
Wateja Airtel ‘wala bata’ baharini Valentine’s Day
KATIKA kusherehekea Sikukuu ya Wapendanao, Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, mwishoni mwa wiki iliwazawadia wateja wake safari ya majini ndani ya Bahari ya Hindi wakiwa ndani ya boti...
10 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-4AWazcB9U-I/VUONB6vGraI/AAAAAAAABbc/BDzktArlrlE/s72-c/Africanjam2.jpg)
TANZANIA: KUELEKEA ZARI WHITE PARTY, DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU NDOA YAKE NA ZARI
![](http://2.bp.blogspot.com/-4AWazcB9U-I/VUONB6vGraI/AAAAAAAABbc/BDzktArlrlE/s1600/Africanjam2.jpg)
Diamond Platnumz ambae ni miongoni mwa wasanii wa muziki wanaofanya vizuri sana Africa amefunguka kuhusu Ndoa yake na mwanamama Zari, Diamond amesema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu kuisha.Diamond alifunguka hayo asubuhi ya tar 1 May. 2015 katika kuipigia promo Event ya Zari All All White Party itakayofanyika tar 1 May. Tamasha hilo linatarajiwa kuacha historia ya kipekee kwa kua na kiingilio cha gharama kubwa zaidi kwani ticket za VIP zimeuzwa kwa Millioni tatu na mpaka...