MAMA DIAMOND AMKIMBIA ZARI
![](http://api.ning.com:80/files/h04tScqf3LbCH33paT4F2ykljuHykgMtbLZ6SOdLaiMdfX0fXnfrkvFWZ1o5lvkkmpBcJq3HZcuUXjdGVhZoptfcjeP4HDET/MamaDiamond.jpg)
KWELI maisha si popote! Msemo huu wenye kinyume na ule usemao maisha ni popote umedhihirika baada ya hivi karibuni mapaparazi wetu kutonywa kuwa, mama wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kasim amekuwa akimkimbia mkaza mwanaye, Zarinah Hassan ‘mama Tiffah’ ndani na kwenda kukaa nje kutokana na Zari kujikita sana kwenye mitandao ya kijamii hivyo kutokuwa na mawasiliano Soma...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo504 Sep
Picha: Mama Diamond na mama Zari walipokutana kwenye ‘state house’ ya Platnmuz
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8Kb*1kVFSTvOpcy9nx*k53zRGxnem5qulA7P0YFfk6rLO8i7YLbrzUIrDOkhMkbyRdww6vmGC-gRbiCk5pNDtypcerruejM-/Zari.jpg)
ZARI ALALA KWA MAMA DIAMOND
9 years ago
Global Publishers07 Jan
Mama Diamond kurudi Tandale, kumpisha Zari
Zarinah Hassan ‘Zari’ au mama Tiffah.
KUNA madai kwamba, mama wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kasim ‘Sandra’ yupo katika maandalizi ya kuhamia kwenye makazi ya Tandale alikokuwa akiishi zamani ili kumpisha mwanye na mama mtoto wake, Zarinah Hassan ‘Zari’ au mama Tiffah kwenye makazi ya Madale jijini Dar.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, mama huyo au bibi Tiffah amefikia uamuzi huo ili kuepusha lolote linaloweza kutokea kwa kukaa beneti na mkaza mwanaye kwa vile ulimi hauna mfupa...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t3tIV4vY4JpfqTh2CgKFAKxnhYfMDdCdWkjNNbPD*9L5KLWcv0NkG1ObohNXgqYdtIjkTiTr4BckCSyCx3BL3KxiAYDDu1Qe/tuzo2.jpg?width=650)
MAMA DIAMOND AMFUNIKA ZARI KWA MBIZI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ov90wJC7zCwdpm8ZUcf4wFKLBZvgxDI8ErEqwpbDjRccYRdRyuE5RljNPnMbqaSGJVcwJGiJOzRd8j4eGC9FdQHBCur-sBa9/diamond.jpg)
DIAMOND, MAMA’KE, ZARI WALA BATA SAUZ
10 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-4AWazcB9U-I/VUONB6vGraI/AAAAAAAABbc/BDzktArlrlE/s72-c/Africanjam2.jpg)
TANZANIA: KUELEKEA ZARI WHITE PARTY, DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU NDOA YAKE NA ZARI
![](http://2.bp.blogspot.com/-4AWazcB9U-I/VUONB6vGraI/AAAAAAAABbc/BDzktArlrlE/s1600/Africanjam2.jpg)
Diamond Platnumz ambae ni miongoni mwa wasanii wa muziki wanaofanya vizuri sana Africa amefunguka kuhusu Ndoa yake na mwanamama Zari, Diamond amesema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu kuisha.Diamond alifunguka hayo asubuhi ya tar 1 May. 2015 katika kuipigia promo Event ya Zari All All White Party itakayofanyika tar 1 May. Tamasha hilo linatarajiwa kuacha historia ya kipekee kwa kua na kiingilio cha gharama kubwa zaidi kwani ticket za VIP zimeuzwa kwa Millioni tatu na mpaka...
10 years ago
Vijimambo08 Jan
DIAMOND APEWA OFA YA $40,000 AMWACHE ZARI, NJEMBA LAPOST SCREENSHOT YA ZARI AKILIOMBA MKWANJA!
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/01/10888399_10205933029869831_1858120712732123108_n.jpg)
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/01/1b.jpg)
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/01/1a.jpg)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SDhgST2Am3WH1a0NykR53MufJcaSOINzqDfucjOsWv6Hdq-dNqBZwHwRqvfdkEMC0jIZ8yK4iZ0vd81B9WkXqR2mit6meDAJ/zari.gif?width=650)
MAMA ZARI AMALIZA UBISHI!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/17StHKe5zK5Fn0G4YSBYEqYiXeI39nt8nPPaREwiy9zq8Y4y*alUymI3WCwUO32zXWyAwQ3ikYO4D8hwQhVibzNewktZhWT-/zari.jpg?width=650)
DIAMOND, ZARI WAUMBUKA!