Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Mama Diamond na mama Zari walipokutana kwenye ‘state house’ ya Platnmuz

Nyuso za wazazi wa mastaa wawili wa Afrika, Diamond na Zari zilionekana zenye furaha mbele ya mjukuu wao Lattifah Nasib a.k.a Tiffah katika picha waliyopiga nyumbani kwa Diamond ambapo mwenyewe anapaita ‘state house’. Zari amepost picha ya mama yake mzazi akiwa amembeba Tiffah na pembeni akiwa na mama yake Diamond, kwa pamoja wanaonekana wakizungumza jambo […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MAMA DIAMOND AMKIMBIA ZARI

KWELI maisha si popote! Msemo huu wenye kinyume na ule usemao maisha ni popote umedhihirika baada ya hivi karibuni mapaparazi wetu kutonywa kuwa, mama wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kasim amekuwa akimkimbia mkaza mwanaye,  Zarinah Hassan ‘mama Tiffah’ ndani na kwenda kukaa nje kutokana na Zari kujikita sana kwenye mitandao ya kijamii hivyo kutokuwa na mawasiliano Soma...

 

10 years ago

GPL

ZARI ALALA KWA MAMA DIAMOND

Stori: Mwandishi Wetu/ Amani
IMEFICHUKA! Mrembo wa Uganda ambaye kwa sasa ndiye ‘usingizi’ wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari’ hivi karibuni alitua Bongo na kulala nyumbani kwa mama wa Diamond, Sanura Kassim ‘Sandra’, Sinza-Mori jijini Dar. Mrembo wa Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari’. Chanzo makini kilicho karibu na familia ya Diamond...

 

9 years ago

GPL

MAMA DIAMOND AMFUNIKA ZARI KWA MBIZI

Imelda mtema MAMA’KE Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kassim ‘Sandra’ ameonesha umahiri mkubwa wa kuogelea kiasi cha kumfunika mkwe wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kwenye bwawa la kuogelea lililopo nyumbani kwa Diamond, Tegeta-Mivumoni jijini Dar.  ....Soma zaidi===>http://goo.gl/KqQxXf

 

9 years ago

Global Publishers

Mama Diamond kurudi Tandale, kumpisha Zari

zariii Zarinah Hassan ‘Zari’ au mama Tiffah.

KUNA madai kwamba, mama wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kasim ‘Sandra’ yupo katika maandalizi ya kuhamia kwenye makazi ya Tandale alikokuwa akiishi zamani ili kumpisha mwanye na mama mtoto wake, Zarinah Hassan ‘Zari’ au mama Tiffah kwenye makazi ya Madale jijini Dar.

Kwa mujibu wa chanzo chetu, mama huyo au bibi Tiffah amefikia uamuzi huo ili kuepusha lolote linaloweza kutokea kwa kukaa beneti na mkaza mwanaye kwa vile ulimi hauna mfupa...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND, MAMA’KE, ZARI WALA BATA SAUZ

Stori: Imelda Mtema
GOOD time! Katika hali ya kushangaza, mkali wao ndani ya Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, mama’ke (Sanura Kassim ‘Sandra’) na mama la mama, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wamekutana pande za Sauz na kuponda raha, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo. Mkali wao ndani ya Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akila bata na mtoto mzuri, ‘Zari The...

 

10 years ago

Vijimambo

BIG BOSS LADY ZARI AWEKA PICHA AKIWA NA MAMA YAKE PAMOJA NA MDOGO WAKE

Mdogo wake Zari nae ni Ng'ari Ng'ari hile full package kiroho safi.Mama wa Zari na Mdogo wake mama anaonekana kama kidogo afya siyo yenyewe labda utu uzima.Zari na kitu cha black mwilini hapa kabla ya vimarekani vya mimba kuchumoza.She is my Queen, my old sun aka Mama Zarinah Hassan Nasur!!!!

 

10 years ago

GPL

ZARI ATUPIA PICHA YA MREMBO ALIYEJICHORA JINA LA DIAMOND KWENYE NIDO

MPENZI wa nguli wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz', Zarinah Hassan 'Zari the Boss Lady' ameamua kutupia picha ya mrembo aliyejichora jina la Diamond kwenye ziwa 'nido' lake la kushoto. Zari ameamua kutupia picha hiyo kwenye akaunti yake ya Instagram akionyesha kuwa mpenzi wake anakubalika vilivyo miongoni mwa warembo. Wengi wa mashabiki wa Zari the Boss Lady wameonekana kuvutiwa na picha hiyo na...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Zari, Diamond washerehekea msimu wa Christmas kwenye yacht na familia

1739465_457224814468540_1238534898_n

Ulisherehekea vipi sikukuu ya Christmas na boxing day?

1739465_457224814468540_1238534898_n

Kwa Diamond na first lady wake, Zari the Bosslady ilikuwa ni mwendo wa kuyakata maji kwenye yacht tu.

11264592_1065574703487275_1757651773_n

Mastaa hao walikodi yacht na kuelekea kwenye kisiwa cha maraha cha Mbudya wakiwa na ndugu zao. Waliojumuika ni pamoja na dada zake Diamond, Esma na Queen Darleen, AY, meneja Sallam na wengine.

1172960_1662537087362603_78202417_n

Tazama picha zao:

12393763_920762141325762_1879445229_n

12317944_444291532434115_1088547502_n

12339048_1687418584876834_1571760568_n

12357568_437426533128956_1832108583_n

12362090_787860254675994_1368957484_n

Katika hatua nyingine, Diamond alipata muda wa kuspend na mwanae Tiffah kabla ya kwenda Nigeria Jumatatu hii kwaajili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani