ZARI ALALA KWA MAMA DIAMOND
![](http://api.ning.com:80/files/8Kb*1kVFSTvOpcy9nx*k53zRGxnem5qulA7P0YFfk6rLO8i7YLbrzUIrDOkhMkbyRdww6vmGC-gRbiCk5pNDtypcerruejM-/Zari.jpg)
Stori: Mwandishi Wetu/ Amani IMEFICHUKA! Mrembo wa Uganda ambaye kwa sasa ndiye ‘usingizi’ wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari’ hivi karibuni alitua Bongo na kulala nyumbani kwa mama wa Diamond, Sanura Kassim ‘Sandra’, Sinza-Mori jijini Dar. Mrembo wa Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari’. Chanzo makini kilicho karibu na familia ya Diamond...
GPL
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10