Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WEMA: MUME WA ZARI ANATAKA KUNIOA

Stori: MUSA MATEJA/Risasi
MAMBO hadharani! Supastaa wa Bongo, Wema Sepetu ‘madam’ ameanika siri zilizojificha nyuma ya pazia kati yake na aliyekuwa mume wa mwanamuziki nyota wa Uganda, Zarina Hassan ‘Zari’, Ivan Semwanga, kuwa anataka kumuoa, Risasi Jumamosi lina full stori.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

Wema ajiachia Sauz na ‘’mume’’ wa Zari

Kumekuwa na sintofahamu baada ya picha za Staa wa filamu za Kibongo,Wema Sepetu akiwa na aliyekuwa mume wa mpenzi wa sasa wa Diamond Platnumz,Zari,Ivan kusambaa mtandaoni wakiwa nchini Afrika Kusini.

Hiyo picha inamwonyesha wema akiwa na Ivan lakini inaonekana si picha rasmi mpango unaonekana ulikua wa siri sana kwani inaonekana kama imepigwa wahusika hawakuwa tayari.

Mashabiki wamekuwa wakijiuliza kuwa Wema ameamua kulipiza kisasi baada ya kunyang’anywa mpenzi wake na Zari? Au kuna project...

 

10 years ago

GPL

MUME WA ZARI ANASA KWA SHOSTI WA ZARI

Kampala, Uganda Habari kutoka nyumba ya jirani nchini Uganda ikufikie kwamba aliyekuwa mume wa mwandani wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, tajiri Ivan Ssemwanga anadaiwa kunasa penzi la shosti wa kufa na kuzikana wa mkewe huyo aitwaye Stella Nankya, Ijumaa Wikienda limetonywa. Aliyekuwa mume wa Zari akiwa na mpenzi wake mpya ambaye ni shosti wa kufa na...

 

9 years ago

Bongo5

Utani Huu: Mpambe wa Ex wa Zari anataka DNA ya mtoto wa Diamond, anadai yeye ni baba, juzi alidai Ivan ndio baba!

Guys kuna mambo mengi sana feki yanaendelea kwenye mitandao ya kijamii. Tena zaidi ni kuwa mengi yanakuja na picha zinazoashiria ukweli lakini katika maisha ya chuki na visasi, kila kitu kinawezekana. Mtoto wa Diamond, Tiffah Bahati mbaya tunaishi kwenye dunia ambayo watu huamini haraka mambo hasi ambayo kwa kawaida husambaa haraka zaidi kuliko yale chanya. […]

 

10 years ago

GPL

MUME WA ZARI ABAMBIKIWA MIMBA!

Kampala, Uganda Wakati staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akisubiri mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ajifungue mtoto wa kike ‘taimu’ yoyote kutoka sasa, aliyekuwa mume wa mwanamama huyo, tajiri Ivan Ssemwanga anadaiwa kubambikiwa mimba na mtangazaji wa runinga aitwaye Doreen Kumhangi, Ijumaa limeidaka.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1LUhLsE ...

 

10 years ago

GPL

MUME: ZARI HAWEZI KUZAA NA DIAMOND

Stori: Kampala, Uganda Oohoo! Wakati staa mkubwa wa muziki wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akichekelea kitendo cha mpenzi wake wa sasa, Zarinah Hassan ‘Zari’ au ‘The Boss Lady’ kunasa mimba yake, habari ya mjini huko Kampala, Uganda ni juu ya aliyekuwa mume wa mwanamama huyo, Ivan Ssemwanga kufunguka na kusema: “Naapa Zari hawezi kuzaa na Diamond.” Staa mkubwa wa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema, Zari Wakinukisha!

Kwa upande wa burudani wiki hii ilikuwa ni shoo ya mchumba wa Nasibu Abdul ‘Diamond’ Zarinah Hassan ‘Zari’ iitwayo Zari All White Party aliekinukisha  usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar na ile ya Instagram Party ambayo ilimhusu mrembo Wema Sepetu aliyokinukisha  jijini Mwanza ambapo mashabiki wa  warembo hao warushiana maneno.

 Kwa mujibu wa chanzo cha gazeti la Risasi kilidai kuwa Zari amepata sapoti kubwa kutoka kwa mpenzi wake wa sasa Diamond kwani walikuwa...

 

10 years ago

GPL

WEMA, ZARI JIONGEZE MWENYEWE!

Staa wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ akipozi. Kumekuwa na maneno mengi juu ya nani mzuri kati ya staa wa Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari’ au ‘The Boss Lady’ na Wema Isaac Sepetu ‘Madam’. Wema ametembea na Diamond na sasa Zari anadaiwa kuchukua uskani. Ijumaa Wikienda limechukua jukumu la kumaliza ubishi ambapo lilibandika swali hilo kwenye mitandao ya kijamii ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani