AMTOROKA BWANA’KE AJIACHIA NA MIDUME 5

Stori: RICHARD BUKOS/Risasi BINTI aliyefahamika kwa jina moja la Ashura, anayedaiwa kuwa ni mke wa mtu, hivi karibuni alimtoroka bwana’ke na kuonekana akijiachia hovyo na wanaume watano tofauti katika Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni jijini Dar es Salaam kulipokuwa na onyesho la Bendi ya Taarabu ya Mashauzi Classic.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMWENYEKITI WA TAWI LA CCM NY BWANA SELF AKIDA AENDA KUTOA POLE NYUMBANI KWA BWANA KIBODYA.
Nyumbani kwa Bwana Isaac Kibondya akiongea na watu walioenda kumpa pole nyumbani kwake baada ya kufiwa na mkwe wake, Kifo kimetokea huko Tanzania siku ya Tarehe July, 16. Marehemu ni mzazi wa Mke wa Bwana Kibodya na Kama inakumbukwa wote walikuwa Tanzania kumuona marehemu akiwa anaumwa mwezi uliopita.
Mwenyekiti wa tawi la CCM New York bwana Seif Akida pamoja na Ny Ebra wote kutoka New York wakiwa nyumbani kwa bwana Kibodya Vail, Springfield. MA kutoa pole.
10 years ago
Mwananchi24 Dec
Tibaijuka: Bwana alitoa, bwana ametwaa
10 years ago
Bongo Movies12 Apr
Ester Awatoa Udenda Midume Hotelini
Staa mrembo wa Bongo Movies, Ester Kiama, juzikati aliwatoa udenda wanaume waliokuwa ndani ya Hoteli ya Landmark iliyopo Mbezi jijini Dar baada ya kutinga akiwa amevaa kivazi cha kihasara ile mbaya.
Ester aliingia hotelini hapo akiwa amevaa shati tu na kuacha wazi eneo la kuanzia mapajani, kitendo kilichowafanya wanaume wengi kuacha shughuli zao na kumkodolea macho.
“Hee! Huyu ni Ester yule msanii wa filamu? Mama yangu weee, ndo’ kavaa kivazi gani kile sasa. Yaani huyu ipo siku atatembea...
10 years ago
GPL
MASOGANGE LAIVU NA MIDUME MIWILI HOTELINI
10 years ago
GPL
ESTER AWATOA UDENDA MIDUME HOTELINI
11 years ago
GPL
VJ PENNY AJIACHIA INSTAGRAM
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Kajala ajiachia na dada’ke diamond!
Mwigizaji Kajala Masanja akiwa na Queen Darleen wakiponda raha.
Na Musa Mateja
HUKU kukiwa na madai kwamba mwigizaji Kajala Masanja ana uhusiano wa ‘kikubwa’ na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, mwigizaji huyo amezidi kuyachochea moto madai hayo kwa kutokana na kujiachia mara kwa mara na dada wa Diamond, Queen Darleen, Risasi Mchanganyiko linakujuza.
Kwa mujibu wa chanzo makini, Kajala na Queen Darleen wamekuwa ‘beneti’ kila kona ambapo pia kuna fununu kuwa hata familia ya...
9 years ago
GPL
MLELA AJIACHIA NA SHOMBESHOMBE ZENJI
11 years ago
GPL
MARIO BALOTELLI AJIACHIA NA MPENZI WAKE