ESTER AWATOA UDENDA MIDUME HOTELINI
![](http://api.ning.com:80/files/sT-mI3qB-hfLMj2N26igHdz1c1d-Amr9BdaEDzcp9jxLyNL-kxgg0Vcwxj9yfUvn1ST0Y5f8i6z6y-HjdcfRc7Zke3XykTWc/Esta.gif?width=650)
Hamida Hassan Staa anayefanya poa kwenye tasnia ya filamu Bongo, Ester Kiama, juzikati aliwatoa udenda wanaume waliokuwa ndani ya Hoteli ya Landmark iliyopo Mbezi jijini Dar baada ya kutinga akiwa amevaa kivazi cha kihasara ile mbaya. Staa anayefanya poa kwenye tasnia ya filamu Bongo, Ester Kiama. Ester aliingia hotelini hapo akiwa amevaa shati tu na kuacha wazi eneo la kuanzia mapajani, kitendo kilichowafanya wanaume wengi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies12 Apr
Ester Awatoa Udenda Midume Hotelini
Staa mrembo wa Bongo Movies, Ester Kiama, juzikati aliwatoa udenda wanaume waliokuwa ndani ya Hoteli ya Landmark iliyopo Mbezi jijini Dar baada ya kutinga akiwa amevaa kivazi cha kihasara ile mbaya.
Ester aliingia hotelini hapo akiwa amevaa shati tu na kuacha wazi eneo la kuanzia mapajani, kitendo kilichowafanya wanaume wengi kuacha shughuli zao na kumkodolea macho.
“Hee! Huyu ni Ester yule msanii wa filamu? Mama yangu weee, ndo’ kavaa kivazi gani kile sasa. Yaani huyu ipo siku atatembea...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/MASOGANGE5.jpg)
MASOGANGE LAIVU NA MIDUME MIWILI HOTELINI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n7ZUxQJY0Ytho6u3bXz7rRAkXx2U0AtvGBVTGkR-JrHBsdkuYHxxj-hY3yT02aIKwjmGjgXAJOptK8wV3h6cUNiYz*vEwSoq/TCHE.jpg?width=650)
Tchetche, Sure Boy waitoa udenda Ferroviario
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/d*xx8iAX09XAjKfsvxrnps6JZVPB8ifHc4SYYWfbXGr9-NPy0vcO-YRHEb*gYa7vGgw8RMxm1XR4UvyoY*Kj1STzMZtH9U-3/34.jpg)
AMTOROKA BWANA’KE AJIACHIA NA MIDUME 5
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-Yq6IG-JtFwc/VNHNyyccGFI/AAAAAAAAnw0/pFauUWbc_bk/s72-c/kawa1.jpg)
Muonekano wa Lulu 2015 Wawa Gumzo, Midume yasema Anazidi Kuwa Mtamu Kama Mcharo
![](http://1.bp.blogspot.com/-Yq6IG-JtFwc/VNHNyyccGFI/AAAAAAAAnw0/pFauUWbc_bk/s640/kawa1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-gzrwf_SzcC4/VNHN1fucQLI/AAAAAAAAnxE/Edf0hiLARx8/s640/kawa3.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-jMySnQLfSmM/VNHNzy1xPAI/AAAAAAAAnw8/jJ-SLe-Gw78/s640/kawa2.jpg)
10 years ago
Mwananchi15 Sep
Phiri awatoa hofu Simba
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Maswi awatoa hofu Tanesco
KATIBU Mkuu Wizara ya Nishatu na Madini, Eliakim Maswi amewatoa hofu ya kufukuzwa au kupunguzwa kwa wafanyakazi wa shirika la Tanesco kutokana na Serikali kuanzisha mkakati na mwelekeo wa kurekebisha...
10 years ago
Mwananchi06 Jun
Lubuva awatoa hofu wapigakura
10 years ago
Mwananchi21 Mar
Lissu awatoa jasho AG, Mhagama