Tchetche, Sure Boy waitoa udenda Ferroviario
![](http://api.ning.com:80/files/n7ZUxQJY0Ytho6u3bXz7rRAkXx2U0AtvGBVTGkR-JrHBsdkuYHxxj-hY3yT02aIKwjmGjgXAJOptK8wV3h6cUNiYz*vEwSoq/TCHE.jpg?width=650)
Salum Aboubakar ‘Sure Boy’. Na Hans Mloli TIMU ya Ferroviario de Beira ya Msumbiji imekubali kazi iliyofanywa na wachezaji wawili wa Azam, Kipre Tchetche na Salum Aboubakar ‘Sure Boy’. Azam ilikuwa mwenyeji wa Ferroviario kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika uliopigwa juzi kwenye Uwanja wa Chamazi. Akizungumza na Championi Jumatano, Kocha Msaidizi wa Ferroviario, Victor Martin, alisema katika...
GPL
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania