Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukawa waitoa jasho CCM

untitledNa Waandishi Wetu, Dar na Mikoani UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umeonekana kukitoa jasho Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vitongoji na vijiji uliofanyika nchini kote jana. Licha ya kuwapo na mchuano mkali kati ya Ukawa na CCM, uchaguzi huo ulitawaliwa na dosari nyingi zilizosababisha uchaguzi usimamishwe katika maeneo kadhaa kutokana na vurugu au kukosekana vifaa vya kupigia kura. Mbali ya CCM, Chadema na CUF kuchuana vikali katika maeneo mbalimbali,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mnyika, Kafulila waitoa jasho serikali

SIKU moja baada ya mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila kuwalipua mawaziri na vigogo wa Wizara ya Nishati na Madini kuhusika katika ufisadi wa sh. bilioni 200 za IPTL,...

 

10 years ago

Habarileo

Shein apita bila jasho CCM

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambaye pia ni Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein (kulia) akipongezwa na Makamu wa Rais wa Dk Mohammed Gharib Bilal baada ya kupitishwa na Kamati Maalum ya CCM Zanzibar kugombea tena urais kwa kipindi cha pili. (Picha na Ikulu).KIKAO cha Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM -Zanzibar kwa kauli moja imependekeza kwa Kamati Kuu jina la Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein kuteuliwa kuwania tena kiti cha Rais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa baadaye mwaka huu.

 

11 years ago

Mwananchi

CCM, Chadema wazidi kutoana jasho Kalenga

Naibu Katibu Mkuu wa (CCM)-Bara, Mwigulu Nchemba amewatakla wananchi wa jimbo hilo kumchagua Mgombea wa Chama hicho, Godfrey Mgimwa ili awaletea maendeleo yanayotokana na utekelezaji wa ilani ya chama hicho tawala.

 

10 years ago

Mwananchi

Uzembe TFF waitoa U- 23 Olimpiki

Timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 23, Ngorongoro Heroes haitashiriki michezo ya Olimpiki hadi mwaka 2020 baada ya Tanzania kushindwa kuthibitisha ushiriki wake kwenye mchakato wa kusaka nafasi hiyo Afrika ulioanza jana.

 

11 years ago

GPL

Tchetche, Sure Boy waitoa udenda Ferroviario

Salum Aboubakar ‘Sure Boy’. Na Hans Mloli
TIMU ya Ferroviario de Beira ya Msumbiji imekubali kazi iliyofanywa na wachezaji wawili wa Azam, Kipre Tchetche na Salum Aboubakar ‘Sure Boy’. Azam ilikuwa mwenyeji wa Ferroviario kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika uliopigwa juzi kwenye Uwanja wa Chamazi. Akizungumza na Championi Jumatano, Kocha Msaidizi wa Ferroviario, Victor Martin, alisema katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Uzembe waitoa Tanzania michezo ya Olimpiki 2016

>Tanzania haitashiriki michezo ya soka  kimataifa hadi mwaka 2016 kutokana na timu yake ya  vijana  wa umri chini ya miaka 23  kutoshiriki michuano ya kusaka  tiketi ya kushiriki Olimpiki  msimu wa 2015/2016.

 

11 years ago

Habarileo

CCM waivimbia Ukawa

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape NnauyeCHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetangaza kwamba hakina mpango wa kushawishi viongozi wa Serikali au viongozi wa kitaifa, wawalazimishe au wawabembeleze wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kurudi bungeni.

 

9 years ago

TheCitizen

CCM desperate : Ukawa

The coalition of opposition parties (Ukawa) said yesterday the use of inflammatory statements by CCM leaders when addressing campaign rallies amounted to the party’s desperation ahead of the October polls.

 

11 years ago

Tanzania Daima

UKAWA, CCM wakwama

MAZUNGUMZO yanayoendelea kuhusu jinsi ya kunasua mchakato wa katiba mpya kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), yanaelekea kukwama kwa sababu yameingiliwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani