CCM waivimbia Ukawa
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetangaza kwamba hakina mpango wa kushawishi viongozi wa Serikali au viongozi wa kitaifa, wawalazimishe au wawabembeleze wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kurudi bungeni.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi07 Jan
Wafanyabiashara Tanga waivimbia TRA
10 years ago
Mtanzania28 Apr
Wamiliki wa mabasi waivimbia Sumatra
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
WAMILIKI wa mabasi yaendayo mikoani wameitunishia msuli Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) na kusema hawatashusha nauli kutokana na bei ya mafuta kuzidi kupanda.
Pia wamesema kama Sumatra hawatatoa majibu mapema, kuanzia Aprili 29 mwaka huu hawatokata tiketi kwa wasafiri wa mikoani badala yake wataitisha mgomo ambao utadumu kwa siku saba.
Akizungumza katika kikao cha dharura cha Chama cha Wamiliki wa Mabasi yaendayo mikoani (Taboa) Dar es...
9 years ago
TheCitizen20 Sep
CCM desperate : Ukawa
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
UKAWA, CCM wakwama
MAZUNGUMZO yanayoendelea kuhusu jinsi ya kunasua mchakato wa katiba mpya kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), yanaelekea kukwama kwa sababu yameingiliwa...
11 years ago
Tanzania Daima02 Apr
UKAWA yaikwamisha CCM
JITIHADA za Chama Cha Mapinduzi (CCM) za kutaka kurekebisha kanuni za Bunge Maalumu la Katiba, ili kutumia wingi wake kupitisha ibara na sura za rasimu ya katiba kwenye kamati zimegonga...
10 years ago
Mwananchi12 Aug
CCM, Ukawa gumzo
9 years ago
Mtanzania26 Oct
CCM yailaumu Ukawa
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimelalamikia kitendo cha Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia, kusema watatangaza matokeo yao na kuwaamuru vijana wao waingie barabarani kushangilia.
Chama hicho kilisema kauli hizo zinazotolewa na viongozi hao wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ni za hatari kwa amani na usalama wa nchi na ujenzi wa demokrasia na inashangazwa ni kwanini...
11 years ago
Tanzania Daima06 Jul
Tuwalaumu UKAWA au CCM?
NI takriban mwezi mmoja umesalia kabla ya Bunge Maalumu la Katiba kuanza vikao vyake mkoani Dodoma. Uhai wa Bunge hilo upo mikononi mwa wajumbe na viongozi wa Umoja wa Katiba...
10 years ago
Mtanzania15 Dec
Ukawa waitoa jasho CCM
Na Waandishi Wetu, Dar na Mikoani UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umeonekana kukitoa jasho Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vitongoji na vijiji uliofanyika nchini kote jana. Licha ya kuwapo na mchuano mkali kati ya Ukawa na CCM, uchaguzi huo ulitawaliwa na dosari nyingi zilizosababisha uchaguzi usimamishwe katika maeneo kadhaa kutokana na vurugu au kukosekana vifaa vya kupigia kura. Mbali ya CCM, Chadema na CUF kuchuana vikali katika maeneo mbalimbali,...