Lissu awatoa jasho AG, Mhagama
>Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu jana aliwatoa jasho Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu wa Bunge), Jenister Mhagama kuhusu kupitishwa kwa Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Maafa akidai kuwa unagusa mambo ya Muungano na kuvunja Katiba ya Nchi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-GqrN3rIpOy0/Xk6acvew03I/AAAAAAALejw/E0JDyMppPykK3i1b8qn8mfDM95PQzPxiQCLcBGAsYHQ/s72-c/Lissu%2BTundu.jpg)
WADHAMINI WA LISSU WAOMBA AMRI ITOLEWE YA KUMKAMATA KWA LISSU
![](https://1.bp.blogspot.com/-GqrN3rIpOy0/Xk6acvew03I/AAAAAAALejw/E0JDyMppPykK3i1b8qn8mfDM95PQzPxiQCLcBGAsYHQ/s640/Lissu%2BTundu.jpg)
Madai hayo yamewasilishwa leo Februari 20, 2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba wakati kesi dhidi ya Lissu ilipopangwa kwa ajili ya kutajwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam.
Mapema wakili wa Serikali Mwandamizi, Wankyo...
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Maswi awatoa hofu Tanesco
KATIBU Mkuu Wizara ya Nishatu na Madini, Eliakim Maswi amewatoa hofu ya kufukuzwa au kupunguzwa kwa wafanyakazi wa shirika la Tanesco kutokana na Serikali kuanzisha mkakati na mwelekeo wa kurekebisha...
10 years ago
Mwananchi06 Jun
Lubuva awatoa hofu wapigakura
10 years ago
Mwananchi15 Sep
Phiri awatoa hofu Simba
10 years ago
Bongo Movies12 Apr
Ester Awatoa Udenda Midume Hotelini
Staa mrembo wa Bongo Movies, Ester Kiama, juzikati aliwatoa udenda wanaume waliokuwa ndani ya Hoteli ya Landmark iliyopo Mbezi jijini Dar baada ya kutinga akiwa amevaa kivazi cha kihasara ile mbaya.
Ester aliingia hotelini hapo akiwa amevaa shati tu na kuacha wazi eneo la kuanzia mapajani, kitendo kilichowafanya wanaume wengi kuacha shughuli zao na kumkodolea macho.
“Hee! Huyu ni Ester yule msanii wa filamu? Mama yangu weee, ndo’ kavaa kivazi gani kile sasa. Yaani huyu ipo siku atatembea...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sT-mI3qB-hfLMj2N26igHdz1c1d-Amr9BdaEDzcp9jxLyNL-kxgg0Vcwxj9yfUvn1ST0Y5f8i6z6y-HjdcfRc7Zke3XykTWc/Esta.gif?width=650)
ESTER AWATOA UDENDA MIDUME HOTELINI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9OHZWcwyRATZRR1haI9t6ufNRtKukv442duOw4wuaLcXetUzrIgLheztsOXfVFMqMO-MDZfruPtp9Kquu6lV5G5yj3T5f0ZF/dude.jpg?width=650)
DUDE AWATOA NISHAI BONGO MUVI
11 years ago
Mwananchi07 Dec
Kipa Berko awatoa shaka Simba
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uVSra6c8ZxUTXZg91jLmvFkxt1Yr7w*CoIwEtj4zXKSEbXJ1Z5tYn4TCXdK2qxGmWyfJtWVGOkTEdMO*vDKovoXK3o84kVGr/VANESSAMDEE.jpg?width=650)
VANESSA AWATOA KIMASOMASO WASANII WA KIKE