WADHAMINI WA LISSU WAOMBA AMRI ITOLEWE YA KUMKAMATA KWA LISSU
![](https://1.bp.blogspot.com/-GqrN3rIpOy0/Xk6acvew03I/AAAAAAALejw/E0JDyMppPykK3i1b8qn8mfDM95PQzPxiQCLcBGAsYHQ/s72-c/Lissu%2BTundu.jpg)
WADHAMINI wa aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, Ibrahim Ahmed na Robart Katula wamefungua maombi katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakiomba itolewe amri ya kukamatwa kwa mshtakiwa huyo kwa kuwa wao wameshindwa kumpata.
Madai hayo yamewasilishwa leo Februari 20, 2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba wakati kesi dhidi ya Lissu ilipopangwa kwa ajili ya kutajwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam.
Mapema wakili wa Serikali Mwandamizi, Wankyo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CHADEMA Blog![](https://img.youtube.com/vi/nrgz6hnZ1ho/default.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-kiYewCQY-Sg/Xk_iYp72qHI/AAAAAAALer8/9LUPiSFGOvg6usMIV00cPuWacfcyPdECwCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-02-21%2Bat%2B4.54.22%2BPM.jpeg)
UPANDE WA MASHTAKA KATIKA KESI YA LISSU WAOMBA SIKU 14
![](https://1.bp.blogspot.com/-kiYewCQY-Sg/Xk_iYp72qHI/AAAAAAALer8/9LUPiSFGOvg6usMIV00cPuWacfcyPdECwCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-02-21%2Bat%2B4.54.22%2BPM.jpeg)
UPANDE wa mashtaka katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Singida Mjini, Tundu Lisu umeiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kuwapatia muda wa wiki mbili (Siku 14 ) kwa ajili ya kupitia na kuchambua maombi ya wadhamini wa mshtakiwa...
10 years ago
Habarileo09 Dec
Amri ya kumkamata bosi TRA yaondolewa
KATIBU wa Bodi ya Rufaa ya Kodi katika Mahakama Kuu Kitengo cha Biashara, Respicius Mwijage ameamuru maombi ya kumkamata Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kumpeleka gerezani kwa kukiuka amri ya bodi hiyo, yaondolewe.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mK50tPAXydXq6Sp22mzwYfDZkAzLdybMq35S22KBh809F8W7xUtXw5fRqTzv3zQ--oe9AT-lp3ULx0t2XYXfZLoHLdvNa1ZG/lissu.jpg?width=650)
TUNDU LISSU: TUMUUE ZITTO KWA LIPI?
11 years ago
Mwananchi03 Jun
Lissu arusha kombora lingine kwa mawaziri
10 years ago
Dewji Blog09 Oct
Lissu akerwa na uongozi wa Chadema Singida kwa kumdodesha
Mwenyekiti CHADEMA jimbo la kanda ya kati, Tundu Lissu, akihutubia wana CHADEMA na baadhi ya wakazi wa manispaa ya Singida kwenye viwanja vya Peoples mjini Singida.Tundu pamoja na mambo mengine, amewahimiza wananchi kuikataa rasimu ya katiba mpya kwa madai kwamba imechakachuliwa.
Na Nathaniel Limu, Singida
IDADI ndogo ya wanachama na wasio wanachama wa CHADEMA waliohudhuria mkutano wa hadhara ulioitishwa kwa ajili ya mwenyekiti wa jimbo la kanda ya kati, Tundu Lissu, kuzungumza nao,...
10 years ago
Mwananchi20 Jan
Maswali kumi kwa Mbunge wangu:Tundu Lissu
9 years ago
Dewji Blog05 Sep
Tundu Lissu amshukia Dk.Slaa kwa madai ya kuponzwa na mkewe
Mwanasheria wa CHADEMA na mgombea ubunge jimbo la Singida mashariki, Tundu Lissu,akizungumza kwenye mkutano wa kampeni ya Ukawa mkoa wa Singida uliofanyika kwenye uwanja wa Peoples mjini hapa.Pamoja na mambo mengine,Tundu amewaomba wakazi wa Singida, kumpa kura ya ndiyo mgombea urais kwa tiketi ya Ukawa, Edward Ngoyai Lowassa, wabunge na madiwani wa Ukawa,ili kuigaragaza CCM kwa madai imechoka na umechuja mbele ya macho ya Watanzania.
Mgombea ubunge jimbo la Singida mjini kupitia ukawa,...
10 years ago
Tanzania Daima10 Oct
Lissu: Katiba ya wananchi haiwezi kupitishwa kwa mitutu ya bunduki
MWANASHERIA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema Katiba ya Wananchi haiwezi kupitishwa chini ya ulinzi mkali wa vikosi vya ulinzi na usalama vyenye mitutu ya bunduki,...