Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUNDU LISSU: TUMUUE ZITTO KWA LIPI?

WAKATI Watanzania wote macho na masikio yao yakiwa Dodoma kwenye kikao cha Bunge la Katiba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) bado kuna mgogoro unaoendelea kuunguruma chinichini. Tundu Lissu akiongea na wafanyakazi wa Global (hawapo pichani). Mgogoro huo kati ya uongozi wa Chadema na…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TUNDU LISSU NA PETER KIBATARA WAKIONGEA NA WANAHABARI BAADA YA HUKUMU YA ZITTO

Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki, Mhe Tundu Lissu akiwa na Mwanasheria wa chama hicho, Peter Kibatara wakiongea na wanahabari baada ya hukumu ya kesi ya Zitto Kabwe jana Januari 7, 2014.

 

10 years ago

Mwananchi

Maswali kumi kwa Mbunge wangu:Tundu Lissu

Umewaagiza wananchi wasichangie miradi yao ya maendeleo kwa madai Serikali ina fedha za kutosha za kugharamia, mbona hadi sasa hujahimiza Serikali ilete hizo fedha pamoja na za ujenzi wa maabara?

 

10 years ago

Dewji Blog

Tundu Lissu amshukia Dk.Slaa kwa madai ya kuponzwa na mkewe

DSC01778

Mwanasheria wa CHADEMA na mgombea ubunge jimbo la Singida mashariki, Tundu Lissu,akizungumza kwenye mkutano wa kampeni ya Ukawa mkoa wa Singida uliofanyika kwenye uwanja wa Peoples mjini hapa.Pamoja na mambo mengine,Tundu amewaomba wakazi wa Singida, kumpa kura ya ndiyo mgombea urais kwa tiketi ya Ukawa, Edward Ngoyai Lowassa, wabunge na madiwani wa Ukawa,ili kuigaragaza CCM kwa madai imechoka na umechuja mbele ya macho ya Watanzania.

DSC01807

DSC01826

Mgombea ubunge jimbo la Singida mjini kupitia ukawa,...

 

5 years ago

Michuzi

WALEMAVU WAMKARIBISHA RASMI TUNDU LISSU WAMWAMBIA KURA ZAO ZOTE KWA JPM

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Walemavu kupitiaChama Cha Mapinduzi(CCM)Peter Sarungi(kushoto) akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 21 ,2020 jijini Dar es Salaam kuhusu tamko lao kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.Kulia ni Katibu Mkuu wa jumuiya hiyo John Mlabu.  Kulia ni Katibu Mkuu wa jumuiya hiyo John Mlabu(kulia) akifafanua jambo wakati wa mkutano huo.Kushoto ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Walemavu kupitiaChama Cha Mapinduzi(CCM)Peter Sarungi.  Mwenyekiti wa...

 

11 years ago

GPL

Tundu Lissu…

Tundu Lissu. Na Saleh Ally
Yanga damu aliyevuliwa viatu na mashabiki wa Simba SC
MMOJA wa wanasiasa machachari nchini ni Tundu Lissu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Lissu ambaye ni Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), amekuwa akitajwa karibu kila sehemu yanapozungumziwa masuala mbalimbali yanayohusiana na siasa hapa nchini kutokana na umaarufu alionao.… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tundu Lissu awalipua mgambo

MWANASHERIA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema anachukizwa na mgambo kuchangisha fedha za michango mbalimbali bila ya kujali kuwa wanazidisha umaskini kwa wananchi. Aidha, alisema kuwa serikali imekuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Tundu Lissu atikisa Bunge

 Mjumbe wa Bunge la Katiba, Tundu Lissu amesema Tanganyika ilikufa kwa amri iliyotolewa na Mwalimu Julius Nyerere na siyo kwa makubaliano katika hati ya Muungano.

 

10 years ago

Mwananchi

Tundu Lissu apambana dakika 125

Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu juzi alitumia dakika 125 kupinga muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Maafa wakati Bunge lilipokaa kama kamati kupitisha vipengele.

 

10 years ago

GPL

TUNDU LISSU ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE

Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA) na Mwanasheria Mkuu wa Chama hicho, Mh. Tundu Antipas Lissu akiwa katika ofisi za Global Publishers. Mh. Tundu Lissu akizungumza na waandishi wa habari wa Global Publishers, hawapo pichani. Mh. Tundu Lissu akiendelea kufafanua jambo kwa waandishi wa habari.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani