Amri ya kumkamata bosi TRA yaondolewa
KATIBU wa Bodi ya Rufaa ya Kodi katika Mahakama Kuu Kitengo cha Biashara, Respicius Mwijage ameamuru maombi ya kumkamata Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kumpeleka gerezani kwa kukiuka amri ya bodi hiyo, yaondolewe.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo16 Jan
Atakiwa kuonesha hati ya kumkamata bosi wa UDA
SAKATA la mfanyabiashara wa Dar es Salaam, kushutumu viongozi wa Jeshi la Polisi na Serikali kwa madai ya kushindwa kumkamata mwendeshaji wa Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), Robert Kisena kwa kudaiwa kuvamia kiwanja Mbagala, limechukua sura mpya, baada ya mfanyabiashara, Alex Msama kutakiwa kuonesha amri ya Mahakama inayoagiza Kisena kukamatwa.
10 years ago
BBCSwahili08 Feb
Amri ya kutotoka nje yaondolewa Baghdad
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-GqrN3rIpOy0/Xk6acvew03I/AAAAAAALejw/E0JDyMppPykK3i1b8qn8mfDM95PQzPxiQCLcBGAsYHQ/s72-c/Lissu%2BTundu.jpg)
WADHAMINI WA LISSU WAOMBA AMRI ITOLEWE YA KUMKAMATA KWA LISSU
![](https://1.bp.blogspot.com/-GqrN3rIpOy0/Xk6acvew03I/AAAAAAALejw/E0JDyMppPykK3i1b8qn8mfDM95PQzPxiQCLcBGAsYHQ/s640/Lissu%2BTundu.jpg)
Madai hayo yamewasilishwa leo Februari 20, 2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba wakati kesi dhidi ya Lissu ilipopangwa kwa ajili ya kutajwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam.
Mapema wakili wa Serikali Mwandamizi, Wankyo...
10 years ago
Mtanzania08 Dec
Bosi TRA amkomalia bilionea wa IPTL
Na Eliya Mboya, Arusha
KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Rished Bade, amesema hatishwi na kauli ya mmliki wa Kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Herbinder Singh Seth ya kutaka akamatwe na kufikishwa mahakamani.
Kauli ya Kamishina Bade, imekuja siku chache baada ya Kampuni ya Pan Africa Power Solutions (PAP) na IPTL, kuitaka Bodi ya Rufaa ya Kodi nchini iamuru Kamishna Mkuu wa TRA, akamatwe na kupelekwa mahakamani kwa hatua yake ya kufuta hati za kuthibitisha ulipaji wa kodi...
9 years ago
Mwananchi28 Nov
Kasi ya Dk Magufuli yamsomba bosi TRA
10 years ago
Mtanzania05 Dec
Bilionea IPTL ataka bosi wa TRA akamatwe
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
KAMPUNI ya Pan Africa Power Solutions (PAP) na ile ya Independent Power Tanzania (IPTL), imeitaka Bodi ya Rufaa ya Kodi nchini iamuru Kamishna Mkuu wa TRA, akamatwe na kupelekwa gerezani kwa kufuta hati za kuthibitisha ulipaji wa kodi wa kampuni hiyo katika manunuzi ya hisa za IPTL.
Hatua ya TRA kufuta hati hizo, ilitokana na udanganyifu uliofanywa na PAP kwa kuwasilisha nyaraka za kughushi za ununizi wa hisa, hali iliyoiwezesha kukwepa kodi ya Sh bilioni...
9 years ago
Mwananchi23 Dec
Museveni kumkamata Mbabazi
9 years ago
Mtanzania08 Dec
Mahakama yatishia kumkamata Lwakatare
Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jana ilitishia kumkamata Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare baada ya kutokuwapo mahakamani hapo.
Kauli ya Hakimu Thomas Simba imetolewa baada ya Mdhamini wa mshtakiwa, Paschal Mwita kudai mahakamani hapo kuwa mshtakiwa huyo hakuwapo mahakamani na kwamba amesafiri kwenye shughuli zake za ubunge.
Wakili Mwandamizi wa serikali, Pamela Shinyambala alidai kuwa...
10 years ago
Mwananchi05 Dec
Interpol yaomba msaada kumkamata jangili