Bilionea IPTL ataka bosi wa TRA akamatwe
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
KAMPUNI ya Pan Africa Power Solutions (PAP) na ile ya Independent Power Tanzania (IPTL), imeitaka Bodi ya Rufaa ya Kodi nchini iamuru Kamishna Mkuu wa TRA, akamatwe na kupelekwa gerezani kwa kufuta hati za kuthibitisha ulipaji wa kodi wa kampuni hiyo katika manunuzi ya hisa za IPTL.
Hatua ya TRA kufuta hati hizo, ilitokana na udanganyifu uliofanywa na PAP kwa kuwasilisha nyaraka za kughushi za ununizi wa hisa, hali iliyoiwezesha kukwepa kodi ya Sh bilioni...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania08 Dec
Bosi TRA amkomalia bilionea wa IPTL
Na Eliya Mboya, Arusha
KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Rished Bade, amesema hatishwi na kauli ya mmliki wa Kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Herbinder Singh Seth ya kutaka akamatwe na kufikishwa mahakamani.
Kauli ya Kamishina Bade, imekuja siku chache baada ya Kampuni ya Pan Africa Power Solutions (PAP) na IPTL, kuitaka Bodi ya Rufaa ya Kodi nchini iamuru Kamishna Mkuu wa TRA, akamatwe na kupelekwa mahakamani kwa hatua yake ya kufuta hati za kuthibitisha ulipaji wa kodi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ARLRee19CK4wW9p9cAw4goKCUiq*lB0s4wV74i4RyIueJCMIFGaUEfq5XZBTXLe1GXa*8WlGo4D3bXJEKa1KLOtP*J1P10va/masogange.jpg?width=650)
WAZIRI ATAKA MASOGANGE AKAMATWE
10 years ago
BBCSwahili11 Apr
Jaji ataka Justin Bieber akamatwe
10 years ago
Vijimambo27 Feb
MKE WA DAVID HAINES ATAKA JIHAD JOHN AKAMATWE AKIWA HAI
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2014/12/11/141211065154_isis-beheading_512x288_reuters.jpg)
Dragana Haines mke wa David Haines,mamlaka zinapaswa kumsaka na kumkamata akiwa hai mtu aliyemuua mume wake kwa kumchinja baada ya kutekwa na kundi la wapiganaji wa dola ya kiislam Islamic State wakati akifanya kazi na shirika la misaada la Uingereza.Mtu aliyemchinja David Haines na wengine tayari amefahamika kuwa ni Mohamed Emwazi.
Bi.Dragana amesema tangu alipojua kuwa mmewe David amechinjwa alijipa matumaini moyoni mwake kuwa ipo siku muuaji huyo atafahamika...
10 years ago
Habarileo09 Dec
Amri ya kumkamata bosi TRA yaondolewa
KATIBU wa Bodi ya Rufaa ya Kodi katika Mahakama Kuu Kitengo cha Biashara, Respicius Mwijage ameamuru maombi ya kumkamata Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kumpeleka gerezani kwa kukiuka amri ya bodi hiyo, yaondolewe.
9 years ago
Mwananchi28 Nov
Kasi ya Dk Magufuli yamsomba bosi TRA
10 years ago
BBCSwahili18 Jun
Bilionea wa Afrika ataka kuinunua Arsenal
10 years ago
Mwananchi04 Dec
TRA yazuiwa kufuta hati za malipo ya kodi ya IPTL
9 years ago
Mwananchi26 Nov
DC aagiza mratibu wa maabara akamatwe