TRA yazuiwa kufuta hati za malipo ya kodi ya IPTL
 Bodi ya Rufani za Kodi (TRAB), imetoa amri ya zuio la muda kwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhusu kusudio lake la kufuta hati ya malipo ya kodi iliyotokana na uuzwaji wa hisa za Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…
Mipango ya Rais Magufuli kuendelea kupambana na wabadhirifu wa mapato ya Serikali yameendeela kuchukua sura mpya. Kupitia Mamlaka ya Mapato TRA Rais aliweza kufanya mabadiliko makubwa ikiwa ni pamoja na kuwaondoa watendaji ambao walihusika katika upotevu wa fedha za umma pamoja na kuwabana wakwepa kodi ambao ni wafanyabiashara wakubwa. Kingine kilichonifikia leo kutoa kutoka kwa […]
The post Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…...
9 years ago
Mwananchi25 Dec
Lukuvi aombwa kufuta hati ya shamba
10 years ago
Mwananchi17 Dec
TRA kufuta usajili wa vyombo vya moto
9 years ago
Habarileo08 Nov
Arusha wakumbusha Rais kufuta kodi zisizo na tija
WAKAZI wa Arusha wamemtaka Rais John Magufuli kufuta kodi zote zenye kuwaumiza wafanyabiashara wadogo wadogo kama vile mama lishe na machinga kwani hazina tija kwao.
10 years ago
Mtanzania08 Dec
Bosi TRA amkomalia bilionea wa IPTL
Na Eliya Mboya, Arusha
KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Rished Bade, amesema hatishwi na kauli ya mmliki wa Kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Herbinder Singh Seth ya kutaka akamatwe na kufikishwa mahakamani.
Kauli ya Kamishina Bade, imekuja siku chache baada ya Kampuni ya Pan Africa Power Solutions (PAP) na IPTL, kuitaka Bodi ya Rufaa ya Kodi nchini iamuru Kamishna Mkuu wa TRA, akamatwe na kupelekwa mahakamani kwa hatua yake ya kufuta hati za kuthibitisha ulipaji wa kodi...
5 years ago
MichuziMABULA ATAKA MALIPO YA KODI YA PANGO LA ARDHI KWA MITANDAO YA SIMU KUEPUKA CORONA
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewataka wamiliki wa ardhi wanaotaka kilipia kodi ya pango la ardhi kufanya hivyo kupitia mitandao ya simu za viganjani ili kuepuka misongamano inayoweza kuchangia maambukizi ya virusi vya Corona.
Dkt Mabula alitoa tahadhari hiyo juzi wilayani Bariadi mkoani Simiyu alipozungumza na Wakurugenzi na Watendaji wa sekta ya ardhi katika halmashauri za mkoa wa Simiyu akiwa katika ziara ya...
10 years ago
Mtanzania05 Dec
Bilionea IPTL ataka bosi wa TRA akamatwe
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
KAMPUNI ya Pan Africa Power Solutions (PAP) na ile ya Independent Power Tanzania (IPTL), imeitaka Bodi ya Rufaa ya Kodi nchini iamuru Kamishna Mkuu wa TRA, akamatwe na kupelekwa gerezani kwa kufuta hati za kuthibitisha ulipaji wa kodi wa kampuni hiyo katika manunuzi ya hisa za IPTL.
Hatua ya TRA kufuta hati hizo, ilitokana na udanganyifu uliofanywa na PAP kwa kuwasilisha nyaraka za kughushi za ununizi wa hisa, hali iliyoiwezesha kukwepa kodi ya Sh bilioni...
10 years ago
Mwananchi22 Nov
TRA yalia na misamaha ya kodi
9 years ago
Mtanzania10 Dec
Kodi ya TRA yazua kizaazaa Bakwata
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
MUFTI na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakari Zuberi, ameunda timu ya uchunguzi ambayo itapitia upya mikataba yote mibovu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata).
Pamoja na hali hiyo pia ametangaza kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa Utawala wa Bakwata, Makao Makuu, Karim Majaliwa kupisha uchunguzi juu ya kadhia ya magari 82 na tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi.
Taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na kusainiwa na Mufti Zuberi ilieleza...