WAZIRI ATAKA MASOGANGE AKAMATWE
![](http://api.ning.com:80/files/ARLRee19CK4wW9p9cAw4goKCUiq*lB0s4wV74i4RyIueJCMIFGaUEfq5XZBTXLe1GXa*8WlGo4D3bXJEKa1KLOtP*J1P10va/masogange.jpg?width=650)
WAZIRI Kivuli wa Mambo ya Ndani, Vincent Nyerere ameibuka na kutoa kauli ya kutaka Video Queen Agnes Gerald ‘Masogange’ akamatwe na kuswekwa ndani akidai kitendo cha kuachiwa huru Afrika Kusini kwa kesi ya madawa ya kulevya si sahihi kwa Bongo. Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani, Vincent Nyerere. Akizungumza na Kipindi cha Dakika 45 kilichorushwa hewani Jumatatu usiku na Runinga ya ITV, Nyerere alisema baada ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili11 Apr
Jaji ataka Justin Bieber akamatwe
10 years ago
Mtanzania05 Dec
Bilionea IPTL ataka bosi wa TRA akamatwe
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
KAMPUNI ya Pan Africa Power Solutions (PAP) na ile ya Independent Power Tanzania (IPTL), imeitaka Bodi ya Rufaa ya Kodi nchini iamuru Kamishna Mkuu wa TRA, akamatwe na kupelekwa gerezani kwa kufuta hati za kuthibitisha ulipaji wa kodi wa kampuni hiyo katika manunuzi ya hisa za IPTL.
Hatua ya TRA kufuta hati hizo, ilitokana na udanganyifu uliofanywa na PAP kwa kuwasilisha nyaraka za kughushi za ununizi wa hisa, hali iliyoiwezesha kukwepa kodi ya Sh bilioni...
10 years ago
Vijimambo27 Feb
MKE WA DAVID HAINES ATAKA JIHAD JOHN AKAMATWE AKIWA HAI
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2014/12/11/141211065154_isis-beheading_512x288_reuters.jpg)
Dragana Haines mke wa David Haines,mamlaka zinapaswa kumsaka na kumkamata akiwa hai mtu aliyemuua mume wake kwa kumchinja baada ya kutekwa na kundi la wapiganaji wa dola ya kiislam Islamic State wakati akifanya kazi na shirika la misaada la Uingereza.Mtu aliyemchinja David Haines na wengine tayari amefahamika kuwa ni Mohamed Emwazi.
Bi.Dragana amesema tangu alipojua kuwa mmewe David amechinjwa alijipa matumaini moyoni mwake kuwa ipo siku muuaji huyo atafahamika...
11 years ago
Habarileo19 Dec
Waziri Kawambwa ataka pongezi
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa, ametaka wanaobeza kazi ya wizara yake kujitokeza kupongeza kwa ufaulu wa mitihani ya wanafunzi wa darasa la saba.
9 years ago
Habarileo17 Aug
Waziri ataka ushirikiano Tanzanite One
WAZIRI wa Nishati na Madini, George Simbachawene ameagiza ushirikiano wa kutosha kwa maofisa watatu wa Shirika la Madini nchini (Stamico) waliopo katika mgodi wa Tanzanite One ili kupata matokeo chanya kwa maslahi ya Taifa.
9 years ago
Mtanzania17 Dec
Waziri ataka kambi ya kudumu
NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM
NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, DK. Hamis Kigwangala, ameipa miezi sita Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam kujenga kambi ya kudumu ya wagonjwa wa Kipundupindu.
Agizo hilo la Dk. Kigwangala linakwenda kinyume na mtazamo wa Rais Dk. John Magufuli ambaye amekuwa akihimiza suala la usafi ili kutokomeza ugonjwa wa kipindupindu nchini.
Katika kuhakikisha ugonjwa huo unatokomezwa, Rais Magufuli alifuta sherehe za Uhuru za...
11 years ago
Habarileo20 Feb
Waziri ataka watendaji mifugo wabadilike
WAZIRI wa Maendeleo na Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani amewataka watendaji wa wizara hiyo kubadilika ili sekta ya mifugo ijiendeshe kibiashara na kuacha kusubiri bajeti ya Serikali. Alisema hayo jana wakati alipotembelea Taasisi ya Utafiti Wa Mifugo Tanzania (Taliri) iliyopo Mpwapwa mkoani Dodoma.
11 years ago
Habarileo17 Jul
Waziri ataka Bunge la Katiba wajipange
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka Zanzibar wametakiwa kujipanga upya katika mchakato wa Bunge lijalo kwa ajili ya kuzipatia ufumbuzi kero za Muungano.
11 years ago
BBCSwahili01 Mar
Waziri ataka miili ya watoto ipatikane