Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri ataka ushirikiano Tanzanite One

WAZIRI wa Nishati na Madini, George Simbachawene ameagiza ushirikiano wa kutosha kwa maofisa watatu wa Shirika la Madini nchini (Stamico) waliopo katika mgodi wa Tanzanite One ili kupata matokeo chanya kwa maslahi ya Taifa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI WA MAMBO YA NJE PROF. KABUDI ATAKA NCHI ZA SADC KUIMARISHA USHIRIKIANO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof Palamagamba Kabudi amezitaka Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuimarisha ushirikiano na umoja wakati huu wa kuenea kwa janga la  Virusi vya Corona huku bidhaa na huduma muhimu zinazovuka mipaka baina ya nchi na zikiendelea kutolewa.
Prof. Kabudi amesema hayo jijini Dar es salaam wakati akifungua Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC kwa njia ya Video katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI UMMY ATAKA USHIRIKIANO TOKA KWA WADAU VIRUSI VYA CORONA HAVIINGI TANZANIA

  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amekutana na kufanya mazungumzo na wadau wa sekta ya afya lengo likiwa ni kujadili kwa pamoja tishio la mlipuko wa virusi vya corona.
Ummy alisema katika kikao hicho waliwaeleza wadau kama taarifa ya Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza hali ya maambukizi ya ugonjwa huo duniani, hivyo kama Serikali ni vyema kuwapatia taarifa wadau hao.
“Tumewapa taarifa wadau wetu na kuwahakikishia kwamba Tanzania hakuna mtu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ugaidi:Rais wa Somalia ataka ushirikiano

Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamoud, amesema kuwa Somalia na Kenya zinafaa kuimarisha uhusiano wao dhidi ya ugaidi,

 

10 years ago

Habarileo

Nyalandu ataka ushirikiano kudhibiti majangili

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amesema kuwa Tanzania ni nchi ya kwanza Afrika kwa kuwa na eneo kubwa lililotengwa kwa ajili ya wanyama pori, na kutaka ushirikiano kulinda rasilimali hiyo.

 

9 years ago

Habarileo

RC ataka ushirikiano kura kupigwa kwa amani

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Mecky Sadiki amewataka waratibu wa uchaguzi, wasimamizi wa uchaguzi na viongozi wa vyama vya siasa katika mkoa huo kuhakikisha kuwa wanafanya kazi zao kwa ushirikiano ili kuwawezesha wananchi kupiga kura kwa amani na utulivu na kuepusha manung’uniko yasiyokuwa na maana.

 

10 years ago

Michuzi

SIMBACHAWENE ATAKA USHIRIKIANO ATEKELEZE MAJUKUMU YA WIZARA

  Waziri wa Nishati na Madini,  George Simbachawene, akizungumza na wananchi wa  Kijiji cha Mwilowe, Wilaya ya Mpwapwa, baada  kuzuia msafara wake   wakati  alipopita  katika Kijiji hicho wakati wa ziara ya kukagua Utekelezaji wa Mradi wa Umeme Vijijini Awamu ya Pili unaofadhiliwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Kutekelezwa na Shirika la Umeme Nchini, (TANESCO). Wanakijiji hao walimweleza Waziri kuwa kijiji chao pia kiunganishwe na umeme. Wananchi wa Kijiji cha Mwilowe wakizuia...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Spika Makinda ataka ushirikiano Bunge la EAC


Na Mwandishi Wetu
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda, amewataka wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kutengeneza utaratibu wa kuongeza uhusiano kati ya bunge hilo na yale ya nchi wanachama.

Akizungumza katika ufunguzi wa bunge hilo, Spika Anne alisema tayari maspika wa mabunge ya nchi wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC), wamekubalina kuunda kamati zitakazoshughulikia mambo ya jumuia hizo.
“Lakini jambo kubwa ni kwamba ukanda huu umetengeneza bunge lenye uwezo wa kutunga sheria,...

 

10 years ago

Vijimambo

BAN KI MOON ATAKA USHIRIKIANO ZAIDI BAINA YA UN NA AU

Katibu Mkuu Umoja wa Mataiifa Ban Ki Moon
Na  Mwandishi Maalum, New York

Katibu Mkuu wa Umoja wa  Mataifa  Ban Ki Moon,  amesema, ushirikiano  kati ya Umoja wa Mataifa na  Umoja wa Afrika katika operesheni za ulinzi wa Amani  umekuwa  wa  mafanikio makubwa katika urejeshwaji wa hali ya amani na utulivu katika maeneo yenye  migogoro.

Hata hivyo  amesema pamoja na mafanikio hayo kuna  umuhimu wa ushirikiano huo kuboreshwa zaidi na kuwa wenye tija .

Alikuwa akizungumza  wakati wa majadiliano ya...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI KITWANGA, NAIBU WAZIRI WA USALAMA WA RAIA WA CHINA WASAINI HATI YA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO

mbo1Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kushoto) na Naibu Waziri wa Wizara ya Usalama wa Raia wa Jamhuri ya Watu wa China, Wang Jiang wakisaini Hati ya Makubaliano ya ushirikiano katika masuala mbalimbali ya Ulinzi na Usalama wa Raia kati ya Wizara hizo mbili, katika hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano-MOHA.mbo2Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kushoto), wakibadilishana Hati za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani