Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIMBACHAWENE ATAKA USHIRIKIANO ATEKELEZE MAJUKUMU YA WIZARA

  Waziri wa Nishati na Madini,  George Simbachawene, akizungumza na wananchi wa  Kijiji cha Mwilowe, Wilaya ya Mpwapwa, baada  kuzuia msafara wake   wakati  alipopita  katika Kijiji hicho wakati wa ziara ya kukagua Utekelezaji wa Mradi wa Umeme Vijijini Awamu ya Pili unaofadhiliwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Kutekelezwa na Shirika la Umeme Nchini, (TANESCO). Wanakijiji hao walimweleza Waziri kuwa kijiji chao pia kiunganishwe na umeme. Wananchi wa Kijiji cha Mwilowe wakizuia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

NAPE: CCM ITAMPA USHIRIKIANO MKUBWA DK. MAGUFULI ATEKELEZE ILANI KIKAMILIFU

 Mazungumzo yakiendelea Naam hayo ndivyo yalivyo..... Mkurugenzi wa New Habari Corporation  Erasto Matasya akizungumza.
NA BASHIR NKOROMO.
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema, kitampa ushirikiano mkubwa, Rais Dk. John Magufuli, ili aweze kwa ufanisi zaidi mapambano yake dhidi ya mafisadi na mikakati mingine ya kuinua uchumi wa Watanzania.

Kimesema, kitampa ushirikiano huo Rais Dk. Magufuli, kwa sababu, aliyoanza kuyafanya na atakayoyafanya baadaye katika uongozi wake wa Urais anatekeleza...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA MAMBO YA NJE NA WIZARA YA USHIRIKIANO AFRIKA MASHARIKI ZALENGA KUBORESHA UHUSIANO WA TANZANIA KIMATAIFA.

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bw. Bernard Membe akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka 2015/2016 bungeni leo mjini Dodoma.  Mabalozi wa Tanzania kwenye nchi mbalimbali duniani wakifuatilia bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa mwaka 2015/2016 iliyowasilishwa leo bungeni mjini Dodoma. Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Harrison Mwakyembe akimsikiliza kwa makini mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe....

 

9 years ago

Michuzi

Balozi Dkt. Mahiga akutana na Uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na iliyokuwa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga na Naibu Waziri wake, Mhe. Dkt. Suzan Kolimba waliwasili Wizarani kuanza kazi rasmi siku ya Jumamosi tarehe 12 Desemba 2015. 
Viongozi hao wapya wa Wizara walipokelewa na watumishi kwa shangwe walipowasili wizarani, muda mfupi baada ya kula kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli katika Ikulu ya Dar es Salaam.

Siku ya kwanza Wizarani,...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Mambo ya Nje azungumzia Utekelezaji wa Majukumu ya Wizara

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Waandishi wa Habari ( hawapo pichani) juu ya utekelezaji wa majukumu ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kiamataifa katika Ofisi za Idara ya Habari (Maelezo). Wakati wa Mkutano huo Mhe. Membe alizungumzia masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na kutetea suala la Uraia wa Nchi mbili kwa Watanzania waishio ughaibuni kupitia Bunge Maalum la Katiba, Kuchaguliwa tena kwa Tanzania kwenye Baraza...

 

10 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari ahimiza watumishi wake kuendelea kuwa wabunifu katika kutekeleza majukumu yao

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga akizungumza na watumishi wa Wizara hiyo (hawapo pichani) wakati wa kikao kazi cha kawaida ambacho ufanyika kila baada ya miezi mitatuKikao hicho kimefanyika jana katika ukumbi wa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Elisante Ole Gabriel na kulia ni Mwenyekiti wa TUGHE Tawi la Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Magreth Mtaki.Naibu Katibu Mkuu...

 

9 years ago

Habarileo

Waziri ataka ushirikiano Tanzanite One

WAZIRI wa Nishati na Madini, George Simbachawene ameagiza ushirikiano wa kutosha kwa maofisa watatu wa Shirika la Madini nchini (Stamico) waliopo katika mgodi wa Tanzanite One ili kupata matokeo chanya kwa maslahi ya Taifa.

 

10 years ago

Habarileo

Nyalandu ataka ushirikiano kudhibiti majangili

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amesema kuwa Tanzania ni nchi ya kwanza Afrika kwa kuwa na eneo kubwa lililotengwa kwa ajili ya wanyama pori, na kutaka ushirikiano kulinda rasilimali hiyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ugaidi:Rais wa Somalia ataka ushirikiano

Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamoud, amesema kuwa Somalia na Kenya zinafaa kuimarisha uhusiano wao dhidi ya ugaidi,

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Spika Makinda ataka ushirikiano Bunge la EAC


Na Mwandishi Wetu
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda, amewataka wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kutengeneza utaratibu wa kuongeza uhusiano kati ya bunge hilo na yale ya nchi wanachama.

Akizungumza katika ufunguzi wa bunge hilo, Spika Anne alisema tayari maspika wa mabunge ya nchi wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC), wamekubalina kuunda kamati zitakazoshughulikia mambo ya jumuia hizo.
“Lakini jambo kubwa ni kwamba ukanda huu umetengeneza bunge lenye uwezo wa kutunga sheria,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani