WAZIRI WA MAMBO YA NJE PROF. KABUDI ATAKA NCHI ZA SADC KUIMARISHA USHIRIKIANO
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof Palamagamba Kabudi amezitaka Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuimarisha ushirikiano na umoja wakati huu wa kuenea kwa janga la Virusi vya Corona huku bidhaa na huduma muhimu zinazovuka mipaka baina ya nchi na zikiendelea kutolewa.
Prof. Kabudi amesema hayo jijini Dar es salaam wakati akifungua Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC kwa njia ya Video katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziUJUMBE WA UBALOZI WA CHINA NCHINI WAMTEMBELEA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
9 years ago
Dewji Blog05 Jan
Ujumbe wa Ubalozi wa China nchini wamtembelea Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi wakubaliana kuimarisha ushirikiano
Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Lu Youqing , akisaini kitabu cha wageni mara baadaya kuwasili katika Ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kulia), ofisini kwake alipowasili Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa ziara fupi.
Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China hapa nchini, Lu Youqin akizungumza katika kikao na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Mhe. Charles Kitwanga (wa pili upande wa kushoto). Katika kikao hicho kilichofanyika Wizara hapo, viongozi...
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MUUNGANO WA VISIWA VYA COMORO ATEMBELEA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA MATAIFA
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-lvftgMLRFhc/Vg4v_EAaHkI/AAAAAAAH8RI/-T5VaFMJOmg/s72-c/New%2BPicture.png)
NAIBU WAZIRI MAMBO YA NJE ATAKA NCHI ZILIZONYUMA KIMAENDELEO KUZUNGUMZA KWA KAULI MOJA
![](http://3.bp.blogspot.com/-lvftgMLRFhc/Vg4v_EAaHkI/AAAAAAAH8RI/-T5VaFMJOmg/s640/New%2BPicture.png)
Na Mwandishi Maalum, New York WAKATI kila Nchi mwanachama wa Umoja wa...
5 years ago
CCM BlogWAZIRI WA MABOMBO YA NJE PROF. KABUDI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA ITALIA NCHINI
Mazungumzo hayo pia yalihudhuriwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge, ambapo walijadili masuala mbalimbali yanayohusu mahusiano baina ya Tanzania na Italia.
Aidha, walitumia mazungumzo hayo...
5 years ago
MichuziKABUDI AWATAKA WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE KUJITOA MUHANGA KWA MASLAHI YA NCHI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) akifungua rasmi Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hazina jijini Dodoma tarehe 14 Machi, 2020. Pamoja na mambo mengine, Mhe. Prof. Kabudi amewataka Wafanyakazi wa Wizara hiyo kutekeleza majukumu yao kwa kujituma na kutanguliza mbele maslahi ya Taifa.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge...
5 years ago
MichuziBAJETI YA FEDHA ZAIDI YA DOLA MILIONI 94 YAPITISHWA JUMUIYA YA SADC, MAWAZIRI WAWEKA MKAKATI KUKABILI CORONA...WAZIRI PROF. KABUDI ATOA NENO
JUMUIYA ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika(SADC)imepitisha bajeti ya fedha ya Dola za Marekani milioni 94,913,815 kwa mwaka 2020/ 2021.
Akizungumza mbele ya waandishi wa habari baada ya kikao cha Baraza la Mawaziri wa Jumuiya hiyo Katibu Mtendaji wa Jumuiya hiyo Dk.Stergomena Tac amesema fedha hizo zitatumika kwenye masuala mbalimbali yanayohusu Jumuiya.
"Pamoja na ajenda mbalimbali ambazo zimejadiliwa ,pia Jumuiya imepitisha bajeti ya fedha kwa...
10 years ago
Mwananchi06 May
Bernard Kamillius Membe: Waziri wa Mambo wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
9 years ago
MichuziWaziri wa Mambo ya Nje akutana na Waziri wa Nchi wa Mambo ya Nje wa Japan