Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ujumbe wa Ubalozi wa China nchini wamtembelea Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi wakubaliana kuimarisha ushirikiano

1

Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Lu Youqing , akisaini kitabu cha wageni mara baadaya kuwasili katika Ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kulia), ofisini kwake alipowasili Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa ziara fupi.

2.

Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China hapa nchini, Lu Youqin akizungumza katika kikao na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Mhe. Charles Kitwanga (wa pili upande wa kushoto).  Katika kikao hicho kilichofanyika Wizara hapo, viongozi...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

UJUMBE WA UBALOZI WA CHINA NCHINI WAMTEMBELEA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

 Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China hapa nchini, Lu Youqin akizungumza katika kikao na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Mhe. Charles Kitwanga (wa pili upande wa kushoto).  Katika kikao hicho kilichofanyika Wizara hapo, viongozi hawa walijadili masuala mbalimbali kuhusu ushirikiano wa Serikali ya China na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Charles Kitwanga (wa kwanza upande wa kulia), akimsikiliza Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Lu...

 

9 years ago

Michuzi

UJUMBE WA KAMPUNI YA POLY TECHNOLOGIES, INC. YA CHINA WAMTEMBELEA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI , MHE. MATHIAS CHIKAWE OFISINI KWAKE

  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (katikati) akiongea na ujumbe wa Kampuni ya Poly Technologies, Inc. ya China (haupo pichani) uliomtembelea ofisini kwake. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil na na kulia ni Katibu wa Waziri, Nelson Kaminyoge. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (katikati) katika picha ya pamoja na ujumbe wa Kampuni ya Poly Technologies, Inc. ya China uliomtembelea ofisini kwake.  Wa pili...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI WA MAMBO YA NJE PROF. KABUDI ATAKA NCHI ZA SADC KUIMARISHA USHIRIKIANO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof Palamagamba Kabudi amezitaka Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuimarisha ushirikiano na umoja wakati huu wa kuenea kwa janga la  Virusi vya Corona huku bidhaa na huduma muhimu zinazovuka mipaka baina ya nchi na zikiendelea kutolewa.
Prof. Kabudi amesema hayo jijini Dar es salaam wakati akifungua Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC kwa njia ya Video katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa...

 

9 years ago

Michuzi

WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAMPOKEA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MH. HAMAD MASAUNI

Naibu waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Hamad Masauni wa kwanza kushoto akisalimiana na Kamisha wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi Paul Chagonja wa pili kulia muda mfupi baada ya Naibu waziri huyo kukaribishwa wizarani hapo baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli kumuapisha kushika wadhifa huo Ikulu jana jijini Dar es Salaam wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).Katibu Mkuu wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, GEORGE SIMBACHAWENE, ATEMBELEWA NA BALOZI WA UJERUMANI NCHINI TANZANIA

 Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi George Simbachawene, wa kwanza kushoto akizungumza na Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania, Regine Hess  wa pili kushoto aliyefika kujitambulisha ofisini kwa Waziri Simbawene kwenye Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma leo.   Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi George Simbachawene, wa kwanza kushoto akifafanua jambo mbele ya Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania, Regine Hess  wa pili kushoto aliyeambatana na ujumbe wake walipofika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mratibu Mkazi wa UN nchini na Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi watembelea eneo la mapokezi ya muda kwa Wakimbizi mjini Kigoma

IMG_0495

Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez (wa pili kushoto) akiongozana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Mathias Chikawe (wa tatu kushot0) pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya huduma za Wakimbizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Harrison Mseke (katikati), Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mtaifa la kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), Joyce Mends-Cole (wa pili kulia), Mkuu wa ofisi ya Shirika la Umoja wa Mtaifa la Kuhudumia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani