Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UJUMBE WA KAMPUNI YA POLY TECHNOLOGIES, INC. YA CHINA WAMTEMBELEA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI , MHE. MATHIAS CHIKAWE OFISINI KWAKE

  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (katikati) akiongea na ujumbe wa Kampuni ya Poly Technologies, Inc. ya China (haupo pichani) uliomtembelea ofisini kwake. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil na na kulia ni Katibu wa Waziri, Nelson Kaminyoge. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (katikati) katika picha ya pamoja na ujumbe wa Kampuni ya Poly Technologies, Inc. ya China uliomtembelea ofisini kwake.  Wa pili...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

UJUMBE WA UBALOZI WA CHINA NCHINI WAMTEMBELEA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

 Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China hapa nchini, Lu Youqin akizungumza katika kikao na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Mhe. Charles Kitwanga (wa pili upande wa kushoto).  Katika kikao hicho kilichofanyika Wizara hapo, viongozi hawa walijadili masuala mbalimbali kuhusu ushirikiano wa Serikali ya China na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Charles Kitwanga (wa kwanza upande wa kulia), akimsikiliza Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Lu...

 

9 years ago

Dewji Blog

Ujumbe wa Ubalozi wa China nchini wamtembelea Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi wakubaliana kuimarisha ushirikiano

1

Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Lu Youqing , akisaini kitabu cha wageni mara baadaya kuwasili katika Ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kulia), ofisini kwake alipowasili Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa ziara fupi.

2.

Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China hapa nchini, Lu Youqin akizungumza katika kikao na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Mhe. Charles Kitwanga (wa pili upande wa kushoto).  Katika kikao hicho kilichofanyika Wizara hapo, viongozi...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MHE. MATHIAS CHIKAWE AZINDUA RASMI HUDUMA ZA "DUTY FREE SHOP" GEREZA KUU LILUNGU, MKOANI MTWARA

Na, Lucas Mboje, Mtwara
Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza nchini wametakiwa kutumia fursa ya maduka yenye bidhaa nafuu "Duty Free Shop" zilizofunguliwa katika Magereza mbalimbali ili kupata vifaa vya ujenzi na kujenga makazi yaliyobora na ya kudumu kabla ya kustaafu Utumishi wao Jeshini.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe alipokuwa akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Magereza "Duty Free Shop" ya Gereza Kuu Lilungu, Mkoani Mtwara.

Amesema kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

UJUMBE KUTOKA KAMPUNI YA SURBANA — SINGAPORE WAMTEMBELEA WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI OFISINI KWAKE LEO

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Lukuvi akiwa na ujumbe wa Kampuni ya Surbana International Pty Ltd ya nchini Singapore ofisini kwake. Kampuni hiyo imeingia mkataba na Tanzania katika uandaaji wa mpango kabambe (Master plan) wa Jiji la Arusha. Katibu mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, akifafanua jambo katika kikao kifupi ofisini kwake, baina ya Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. Willium Lukuvi, National...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MATHIAS CHIKAWE ATEMBELEA MABANDA YA WIZARA YAKE KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA, VIWANJA VYA MANAZI MMOJA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Mathias Chikawe aliyeketi wa tatu kutoka kushoto , akiwa pamoja na watumishi wa Idara za wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ikiwemo Polisi , Magereza, Uhamiaji, Zimamoto na Uokoaji na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa baada ya Waziri Chikawe kutembelea mabanda ya wizara yake jana katika Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, aliyeketi wa pili kutoka kushoto ni Msemaji wa wizara Isaac...

 

9 years ago

Michuzi

HOTUBA YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, MATHIAS CHIKAWE (Mb) ALIYOTOA KATIKA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI TAREHE 21 OKTOBA, 2015 KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA WIZARA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa mkutano uliofanyika leo katika ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dar es salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Ndugu Waandishi wa Habari, Mabibi na Mabwana,Kama mnavyojua tarehe 25 ya mwezi huu wa Oktoba mwaka 2015 siku ya Jumapili katika nchi yetu kutafanyika Uchaguzi Mkuu kwa ajili ya kuchagua rais, wabunge na madiwani zoezi ambalo litawashirikisha watanzania wote...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani