Waziri ataka miili ya watoto ipatikane
Waziri wa Afya wa Ghana ametoa siku 14 kwa hospitali moja katika mji wa Kumasi itafute miili ya watoto waliopotea
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-pREo7TtBTpQ/VVbhAFDplCI/AAAAAAAHXg8/n1wdajA3j8I/s72-c/unnamed%2B(29).jpg)
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Dk. Pindi H. Chana afungua kikao cha baraza la watoto dodoma
![](http://3.bp.blogspot.com/-pREo7TtBTpQ/VVbhAFDplCI/AAAAAAAHXg8/n1wdajA3j8I/s640/unnamed%2B(29).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-cDxvCexYvLU/VVbhARd65HI/AAAAAAAHXhA/qKOK5L8OPL8/s640/unnamed%2B(30).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-LrS4XjW6TLA/VVbhARfpdVI/AAAAAAAHXhI/UXEUZWO6CiE/s640/unnamed%2B(31).jpg)
9 years ago
Habarileo31 Aug
Shein ataka timu za watoto ziendelezwe
RAIS wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein amewataka wanamichezo nchini kujenga mapenzi baina yao ili kudumisha michezo kwa faida yao na taifa kwa ujumla. Dk Shein aliyaeleza hayo juzi alipokutana na wanamichezo mbalimbali katika hafla ya ugawaji wa vifaa vya michezo iliyofanyika kwenye viwanja vya Ikulu mjini Unguja.
10 years ago
Habarileo09 Oct
‘Katiba ipatikane kabla ya Rais ajaye’
MJUMBE wa Bunge Maalumu, Askofu Amos Mhagache amemwomba Rais Jakaya Kikwete aache amekamilisha mchakato wa kupata Katiba mpya.
11 years ago
Mwananchi03 Feb
JK ahimiza haki ipatikane kwa wakati
11 years ago
Mwananchi20 Apr
Mbowe: Siyo lazima Katiba ipatikane sasa
10 years ago
Mwananchi03 Oct
Pinda Katiba ipatikane kabla ya Rais mpya
10 years ago
Mwananchi25 Jan
Graca Machel ataka watoto wa kike walindwe Tarime
11 years ago
Habarileo09 Mar
RC Dar ataka tahadhari homa ya ini kwa watoto
MKOA wa Dar es Salaam umesema watoto waliozaliwa kabla ya mwaka 2008 hawana kinga ya ugonjwa wa homa ya ini, hivyo imeagiza Manispaa zote kuwapima na kuwapatia kinga ili kukabiliana na ugonjwa huo hatari. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki alisema hayo leo katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani na kuwasisitiza wanawake kuhakikisha wanapatiwa chanjo ya ugonjwa huo hasa wakati wa ujauzito.
9 years ago
Mtanzania17 Dec
Waziri ataka kambi ya kudumu
NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM
NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, DK. Hamis Kigwangala, ameipa miezi sita Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam kujenga kambi ya kudumu ya wagonjwa wa Kipundupindu.
Agizo hilo la Dk. Kigwangala linakwenda kinyume na mtazamo wa Rais Dk. John Magufuli ambaye amekuwa akihimiza suala la usafi ili kutokomeza ugonjwa wa kipindupindu nchini.
Katika kuhakikisha ugonjwa huo unatokomezwa, Rais Magufuli alifuta sherehe za Uhuru za...