RC Dar ataka tahadhari homa ya ini kwa watoto
MKOA wa Dar es Salaam umesema watoto waliozaliwa kabla ya mwaka 2008 hawana kinga ya ugonjwa wa homa ya ini, hivyo imeagiza Manispaa zote kuwapima na kuwapatia kinga ili kukabiliana na ugonjwa huo hatari. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki alisema hayo leo katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani na kuwasisitiza wanawake kuhakikisha wanapatiwa chanjo ya ugonjwa huo hasa wakati wa ujauzito.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima24 Aug
Ataka Homa ya ini itangazwe janga la kitaifa
SERIKALI imetakiwa kutangaza ugonjwa wa homa ya ini kuwa janga la kitaifa kutokana na kuongezeka kwa kasi kwa ugonjwa huo. Akizungumza na Tanzania Daima jumapili, Kaimu Mratibu Huduma za Selimundu...
11 years ago
Mwananchi09 Mar
Wanafunzi kupewa chanjo homa ya ini Dar
11 years ago
GPLKAMPENI YA KUPAMBANA NA HOMA YA INI YAZINDULIWA JIJINI DAR
11 years ago
GPLSAID MECKY SADICK AZINDUA RASMI KAMPENI YA KUPAMBANA NA HOMA YA INI AMANA, DAR
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7U-JG7rftqRKoNGHDcm*Qy6bzMw8ugJ78sZdhGEI0H0k7slmoD3xccSEYlEmO09OHR3mxCT*sdaKJD-Z7VDRr3D7epF22EgV/hepatitiss2personwithjaundice.jpg?width=650)
KWA NINI GLOBAL PUBLISHERS IMEAMUA KUPAMBANA NA HOMA YA INI?
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnX1TduGx3ZwJboRFmQupoU9mHS6TMNwKv*MeiXivf44mG-zPtMhrJ8pP5*RfvR7w4MOn4Z7Dz-KVjikZ6agE3Kf/1.jpg?width=650)
DAMU SALAMA: MAAMBUKIZI YA HOMA YA INI YAZIDI UKIMWI KWA 5.6%
11 years ago
GPLUZINDUZI HOMA YA INI LEO
11 years ago
GPLKAMPENI HOMA YA INI KUZINDULIWA IJUMAA