UZINDUZI HOMA YA INI LEO
Shigongo akizungumza kwa masikitiko jinsi watu wengi walivyo kwenye hatari ya kufa kwa ugonjwa wa ini. Stori: RICHARD BUKOS KAMPENI ya ugonjwa wa Homa ya Ini unaosambazwa na Virusi vya Hepatitis B inazinduliwa rasmi leo, Machi 7, mwaka huu katika Hospitali ya Mkoa wa Kitabibu Ilala – Amana, jijini Dar es Salaam. Akizungumza na Ijumaa, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers ambayo ndiyo inayoendesha kampeni...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
KAMPENI HOMA YA INI KUZINDULIWA KESHO
11 years ago
GPLKAMPENI HOMA YA INI KUZINDULIWA IJUMAA
11 years ago
Tanzania Daima06 Mar
Homa ya ini hatari kuliko ukimwi
WADAU wa mapambano dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa homa ya ini (Hepatitis B), wamesema takriban watu milioni moja wanapoteza maisha kila mwaka dunia kutokana na ugonjwa huo. Pia wadau...
11 years ago
GPLWADAU WAONGEZEKA KAMPENI YA HOMA YA INI
11 years ago
Tanzania Daima24 Aug
Ataka Homa ya ini itangazwe janga la kitaifa
SERIKALI imetakiwa kutangaza ugonjwa wa homa ya ini kuwa janga la kitaifa kutokana na kuongezeka kwa kasi kwa ugonjwa huo. Akizungumza na Tanzania Daima jumapili, Kaimu Mratibu Huduma za Selimundu...
11 years ago
Habarileo04 Aug
Homa ya ini inaua kuliko Ukimwi - daktari
IDARA ya afya mkoani hapa imehadharisha jamii dhidi ya ugonjwa wa ini, ikisema ni mbaya zaidi ya virusi vya Ukimwi.
11 years ago
GPL
SHIGONGO ASISITIZA KAMPENI YA KUTOKOMEZA HOMA YA INI
11 years ago
GPL
HOMA YA INI: UGONJWA HATARI KULIKO UKIMWI