Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMPENI HOMA YA INI KUZINDULIWA KESHO

Makala:  Mwandishi Wetu
KAMPENI ya ugonjwa wa Homa ya Ini unaosambazwa na Virusi vya Hepatitis B itazinduliwa rasmi kesho Ijumaa, Machi 7, mwaka huu katika Hospitali ya Mkoa wa Kitabibu Ilala–Amana, jijini Dar es Salaam. Shigongo akizungumza kwa masikitiko jinsi watu wengi walivyo kwenye hatari ya kufa kwa ugonjwa wa ini alipoongea na wanahabari (hawapo pichani) jana.
Akizungumza na Amani, Mkurugenzi Mtendaji wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KAMPENI HOMA YA INI KUZINDULIWA IJUMAA

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers, Eric Shigongo. KAMPENI ya ugonjwa wa Homa ya Ini unaosambazwa na Virusi vya Hepatitis B itazinduliwa rasmi keshokutwa Ijumaa, Machi 7, mwaka huu katika Hospitali ya Mkoa wa Kitabibu Ilala – Amana, Dar. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers ambayo ndiyo inayoendesha kampeni hiyo, Eric Shigongo alisema, kama kampuni...

 

11 years ago

GPL

WADAU WAONGEZEKA KAMPENI YA HOMA YA INI

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigongo. Stori: Mwandishi Wetu
Kampeni iliyoanzishwa na Kampuni ya Global Publishers & General Enterprises Ltd ya mapambano dhidi ya homa ya Ini (hepatitis B), imepokelewa kwa mikono miwili baada ya wadau muhimu katika sekta ya afya kujitokeza. Taasisi za Damu Salama, SD Afrika na Sanofi Pasteur, wamejitokeza kuungana na Global kuhakikisha kuwa homa hiyo inatokomezwa nchini....

 

11 years ago

GPL

SHIGONGO ASISITIZA KAMPENI YA KUTOKOMEZA HOMA YA INI

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigongo. Kampeni ya kutokomeza homa ya ini (Hepatitis B), iliyoanzishwa na Kampuni ya Global Publishers & General Enterprises Ltd, imewekewa wigo mpana wa kufika nchi nzima. Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigongo, alimweleza mwandishi wetu kuwa kampeni hiyo imeanzishwa kwa nia ya dhati kabisa ya kumkomboa Mtanzania dhidi ya ugonjwa huo, kwa hiyo mipango imara...

 

11 years ago

GPL

KAMPENI YA KUPAMBANA NA HOMA YA INI YAZINDULIWA JIJINI DAR

Mganga Mkuu Hospitali ya Amana, Dk. Meshack Shimwela, akielezea madhara ya ugonjwa wa Homa ya Ini. Shigongo akiwaomba wadau mbalimbali kupambana dhidi ya ugonjwa wa Homa ya Ini.…

 

11 years ago

GPL

WAZIRI WA AFYA KUZINDUA KAMPENI YA HOMA YA INI MACHI 7

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid. Na Mwandishi Wetu
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni ya homa ya ini (Hepatitis B) ambayo inaratibiwa na Kampuni ya Global Publishers & General Enterprises Ltd inayochapisha Magazeti ya Uwazi, Ijumaa, Risasi, Amani, Ijumaa Wikienda na Championi. Global Publishers, tayari imeshaanzisha mbio za...

 

11 years ago

GPL

KAMPENI YA KUPAMBANA NA UGONJWA WA INI KUZINDULIWA RASMI IJUMAA HII

MKURUGENZI wa Kampuni ya Global Publishers Ltd, Eric Shigongo, na wadau mbalimbali wa afya leo walizungumzia madhara ya ugonjwa hatari wa homa ya ini kwenye mkutano na wanahabari uliofanyika Hospital ya Mkoa wa Ilala, Amana Jijini Dar. Uzinduzi wa kampeni ya kupambana na ugonjwa huo hatari utafanyika Ijumaa Machi 7, mwaka huu.

 

11 years ago

GPL

ERIC SHIGONGO APELEKA KAMPENI YA HOMA YA INI ALPHA HIGH SCHOOL

Mkurugenzi wa Global Publishers Ltd, Eric Shigongo akitoa elimu juu ya ugonjwa wa Homa ya Ini kwa wanafunzi wa kidato cha sita wa Shule ya Sekondari Alpha. ...Akieleza dalili za ugonjwa wa Homa ya Ini.…

 

11 years ago

GPL

SAID MECKY SADICK AZINDUA RASMI KAMPENI YA KUPAMBANA NA HOMA YA INI AMANA, DAR

Mkuu wa Mkoa wa Dar, Said Mecky Sadick akizundua rasmi kampeni ya kupambana na ugonjwa hatari wa Homa ya Ini. Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigongo akielezea madhara ya ugonjwa wa Homa ya Ini wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kupambana na ugonjwa huo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani