Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMPENI YA KUPAMBANA NA UGONJWA WA INI KUZINDULIWA RASMI IJUMAA HII

MKURUGENZI wa Kampuni ya Global Publishers Ltd, Eric Shigongo, na wadau mbalimbali wa afya leo walizungumzia madhara ya ugonjwa hatari wa homa ya ini kwenye mkutano na wanahabari uliofanyika Hospital ya Mkoa wa Ilala, Amana Jijini Dar. Uzinduzi wa kampeni ya kupambana na ugonjwa huo hatari utafanyika Ijumaa Machi 7, mwaka huu.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KAMPENI HOMA YA INI KUZINDULIWA IJUMAA

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers, Eric Shigongo. KAMPENI ya ugonjwa wa Homa ya Ini unaosambazwa na Virusi vya Hepatitis B itazinduliwa rasmi keshokutwa Ijumaa, Machi 7, mwaka huu katika Hospitali ya Mkoa wa Kitabibu Ilala – Amana, Dar. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers ambayo ndiyo inayoendesha kampeni hiyo, Eric Shigongo alisema, kama kampuni...

 

11 years ago

GPL

SAID MECKY SADICK AZINDUA RASMI KAMPENI YA KUPAMBANA NA HOMA YA INI AMANA, DAR

Mkuu wa Mkoa wa Dar, Said Mecky Sadick akizundua rasmi kampeni ya kupambana na ugonjwa hatari wa Homa ya Ini. Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigongo akielezea madhara ya ugonjwa wa Homa ya Ini wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kupambana na ugonjwa huo.…

 

11 years ago

GPL

KAMPENI HOMA YA INI KUZINDULIWA KESHO

Makala:  Mwandishi Wetu
KAMPENI ya ugonjwa wa Homa ya Ini unaosambazwa na Virusi vya Hepatitis B itazinduliwa rasmi kesho Ijumaa, Machi 7, mwaka huu katika Hospitali ya Mkoa wa Kitabibu Ilala–Amana, jijini Dar es Salaam. Shigongo akizungumza kwa masikitiko jinsi watu wengi walivyo kwenye hatari ya kufa kwa ugonjwa wa ini alipoongea na wanahabari (hawapo pichani) jana.
Akizungumza na Amani, Mkurugenzi Mtendaji wa...

 

11 years ago

GPL

KAMPENI YA KUPAMBANA NA HOMA YA INI YAZINDULIWA JIJINI DAR

Mganga Mkuu Hospitali ya Amana, Dk. Meshack Shimwela, akielezea madhara ya ugonjwa wa Homa ya Ini. Shigongo akiwaomba wadau mbalimbali kupambana dhidi ya ugonjwa wa Homa ya Ini.…

 

5 years ago

Michuzi

TECNO SPARK 5, SIMU YENYE KAMERA 5 KUZINDULIWA IJUMAA HII

Kampuni ya simu za mkononi ya TECNO, inatarajia kuzindua simu yake mpya aina ya TECNO SPARK 5 yenye kamera 5 Ijumaa hii kwa njia ya mtandao, ikiwa ni mara ya pili kuzindua kwa njia hiyo ya mtandao ambayo kwa mara ya kwanza ilitanguliwa na TECNO CAMON 15.
Akizungumza kwa njia ya simu leo jijini Dar es Salaam, afisa masoko wa TECNO mtandaoni Bi. Salma Shafii amethibitisha kuwa ni kweli simu hiyo itazinduliwa Ijumaa kwa njia ya mtandao.
“TECNO SPARK 5 ni simu ambayo ina kamera 5 tunatarajia...

 

9 years ago

Michuzi

FILAMU MPYA 'GOING BONGO' KUZINDULIWA RASMI IJUMAA CENTURY CINEMAX MLIMANI CITY JIJINI DAR

FILAMU mpya inayokwenda kwa jina la ‘Going Bongo’ ambayo iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa filamu ndani na na nje ya nchi  imekamilika  sasa kuzinduzliwa rasmi kesho  Ijumaa kwenye ukumbi wa sinema wa Century Cinemax uliopo Mlimani City, Jijini Dar es Salaam. 
Akizungumza jijini Dar es Salaam kuhusu uzinduzi huo mtunzi na muandishi ambaye pia ameisimamia  katika kuitengeneza na kuigiza filamu hiyo, Ernest Napoleon alisema, 
“Naamini kuonyeshwa kwa filamu hii kutaandika historia...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampeni ya ‘Wazazi Nipendeni’ kuzinduliwa rasmi leo viwanja vya Mwembe Yanga jijini Dar

Mshauri wa masuala ya Malaria kutoka Taasisi ya Jhpiego, Jasmin Chadewa (kushoto), akitoa huduma ya kumpa dawa ya vitamini A, mtoto Rahim Simai,  viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam leo asubuhi ikiwa ni utoaji huduma wa elimu ya afya kwa wajawazito na matumizi ya dawa aina ya SP, upimaji wa malaria pamoja na matumizi ya vyandarua kama muendelezo wa huduma za afya ya mama mjamzito na mtoto kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili wa Kampeni ya Wazazi Nipendeni utakaofanyika kesho katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani