Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda Katiba ipatikane kabla ya Rais mpya

>Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema atafurahi kuona mchakato mzima wa Katiba ukikamilika kabla rais mpya hajapatikana katika Uchaguzi Mkuu ujao

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

‘Katiba ipatikane kabla ya Rais ajaye’

MJUMBE wa Bunge Maalumu, Askofu Amos Mhagache amemwomba Rais Jakaya Kikwete aache amekamilisha mchakato wa kupata Katiba mpya.

 

11 years ago

Dewji Blog

Katiba mpya ikamilike kabla ya Uchaguzi Mkuu — Mizengo Pinda

pinda+maswali

Na Mwandishi wetu

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (pichani) amesema atafurahi kuona mchakato mzima wa Katiba ukikamilika kabla rais mpya hajapatikana katika Uchaguzi Mkuu ujao.

Akizungumza Bungeni baada ya kupewa nafasi na Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta kutoa shukrani, Pinda alipendekeza kura ya maoni ipigwe sambamba na Rais ili kiongozi ajaye afanye kazi ya kutekeleza matakwa ya Katiba hiyo.

Alisema rais ajaye anaweza kuwa na ajenda zake, hivyo ni muhimu kumaliza kazi yote na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

KATIBA MPYA: Mwafaka wa aina ya muungano ulihitajika kabla

JAMBO ambalo limekuwa likijadiliwa na wengi katika rasimu ya Katiba mpya ni hoja ya Muungano. Ingawa kwa maoni yangu ningesema yamekuwa mabishano ambayo si wengi wameyajengea hoja, lakini Watanzania wengi...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbowe: Siyo lazima Katiba ipatikane sasa

Mwenyekiti wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Freeman Mbowe amesema Katiba inayoandaliwa siyo lazima ipatikane kwa sasa kutokana na hofu ya kukosekana kwa maridhiano yanayoendelea kujitokeza miongoni mwao na wajumbe wanaosimamia muundo wa serikali mbili.

 

11 years ago

Mwananchi

DIRA: Tulipaswa kupiga kura ya Muungano kabla ya Katiba Mpya

>Mpambano mkali kati ya Umoja wa Katiba ya  Wananchi (Ukawa) na Chama Cha Mapinduzi  (CCM) unaendelea, huku suala la kupata Katiba mpya likionekana kama liwekwa kando kwa muda.

 

11 years ago

Mwananchi

Pinda: Uchaguzi unasubiri hatima ya Katiba Mpya

Waziri Mkuu amesema maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa yameanza lakini kikwazo ni msimamo wa Ukawa katika kupata Katiba Mpya kwa wakati uliopangwa.

 

11 years ago

Habarileo

Pinda- Uchaguzi mitaa unategemea Katiba mpya

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ambao unatarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu yanaendelea. Hata hivyo, amesema kwa kiasi kikubwa hatma ya uchaguzi huo, inategemea kukamilika kwa mchakato wa Katiba mpya.

 

11 years ago

Michuzi

Pinda awataka wajumbe wa bunge maalum kuepuka mivutano, wazingatie mambo muhimu kupata katiba mpya

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Kayanza Peter Pinda akiongea na waandishi wa habari leo mjini Dodoma juu ya mambo mbalimbali ikiwemo kuwaomba wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kuepuka mivutano na badala yake wazingatie mambo muhimu yatakayosaidia Taifa na Watanzania kupata Katiba mpya .

 

11 years ago

BBCSwahili

Rais akabidhiwa rasimu ya katiba mpya

Rais wa Jamhuri wa Tanzania Jakaya Kikwete na Dr.Ali Mohamed Shein wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar wamekabidhiwa rasmu ya pili ya mapendekezo ya mabadiliko ya katiba

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani