Pinda- Uchaguzi mitaa unategemea Katiba mpya

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ambao unatarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu yanaendelea. Hata hivyo, amesema kwa kiasi kikubwa hatma ya uchaguzi huo, inategemea kukamilika kwa mchakato wa Katiba mpya.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi27 Jul
Uchaguzi wa serikali za mitaa 2014 na Katiba Mpya
11 years ago
Mwananchi22 Jul
Pinda: Uchaguzi unasubiri hatima ya Katiba Mpya
11 years ago
Dewji Blog04 Oct
Katiba mpya ikamilike kabla ya Uchaguzi Mkuu — Mizengo Pinda
Na Mwandishi wetu
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (pichani) amesema atafurahi kuona mchakato mzima wa Katiba ukikamilika kabla rais mpya hajapatikana katika Uchaguzi Mkuu ujao.
Akizungumza Bungeni baada ya kupewa nafasi na Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta kutoa shukrani, Pinda alipendekeza kura ya maoni ipigwe sambamba na Rais ili kiongozi ajaye afanye kazi ya kutekeleza matakwa ya Katiba hiyo.
Alisema rais ajaye anaweza kuwa na ajenda zake, hivyo ni muhimu kumaliza kazi yote na...
10 years ago
Tanzania Daima22 Nov
Pinda atahadharishwa uchaguzi Serikali za Mitaa
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetoa tahadhari kwa mamlaka zinazohusika kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), kuhakikisha uchaguzi huo unakuwa huru na haki,...
11 years ago
Mwananchi01 Jul
Pinda: Ukawa imeuweka njiapanda uchaguzi mitaa
10 years ago
Tanzania Daima09 Dec
BAVICHA yamvaa Pinda uchaguzi serikali za mitaa
BARAZA la Vijana la CHADEMA (BAVICHA), limeitaka Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa (Tamisemi), kutoa majibu ya haraka juu ya kuenguliwa kwa wagombea wa chama hicho katika uchaguzi wa...
11 years ago
Mwananchi03 Oct
Pinda Katiba ipatikane kabla ya Rais mpya
11 years ago
Habarileo10 Aug
ACT wataka Katiba mpya baada ya uchaguzi 2015
CHAMA kipya cha siasa cha ACT-Tanzania kimeelezea kusikitishwa na mvutano wa makundi ya kisiasa uliowakumba wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba na kushauri, ni vyema Bunge la Katiba likaahirishwa hadi baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwakani kwa kutumia Katiba ya sasa.
10 years ago
Mtanzania26 Feb
Ukawa: CCM wanataka Katiba mpya itumike uchaguzi mkuu
Fredy Azzah, Dar es Salaam
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umedai kubaini mpango wa siri wa Serikali kutaka kuipitisha kwa hila Katiba Inayopendekezwa itumike kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka huu.
Hayo yalibainishwa jana na Mwenyekiti Mwenza wa Ukawa, Freeman Mbowe, alipozungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Chama cha Wananchi (CUF) Buguruni, Dar es Salaam.
“Tumepata taarifa kuwa CCM imeamua aidha inyeshe mvua au isinyeshe, Katiba Inayopendekezwa itapita kwenye kura ya maoni waweze...