Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Katiba ipatikane kabla ya Rais ajaye’

MJUMBE wa Bunge Maalumu, Askofu Amos Mhagache amemwomba Rais Jakaya Kikwete aache amekamilisha mchakato wa kupata Katiba mpya.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Pinda Katiba ipatikane kabla ya Rais mpya

>Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema atafurahi kuona mchakato mzima wa Katiba ukikamilika kabla rais mpya hajapatikana katika Uchaguzi Mkuu ujao

 

11 years ago

Mwananchi

Mbowe: Siyo lazima Katiba ipatikane sasa

Mwenyekiti wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Freeman Mbowe amesema Katiba inayoandaliwa siyo lazima ipatikane kwa sasa kutokana na hofu ya kukosekana kwa maridhiano yanayoendelea kujitokeza miongoni mwao na wajumbe wanaosimamia muundo wa serikali mbili.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

JK azungumzia Rais ajaye


NA MWANDISHI WETU, BEIJING
“NINGEPENDA Rais ajaye baada yangu awe bora kuliko mimi.” Ni kauli ya Rais Jakaya Kikwete kwa mabalozi wa Afrika wanaowakilisha nchi zao nchini.
Rais Kikwete ambaye yuko katika ziara ya kikazi mjini hapa, alitoa kauli hiyo juzi alipozungumza na wawakilishi hao wa Afrika na kuwaeleza hali ilivyo Afrika kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Kilichomsukuma Rais kuzungumzia mustakabali huo wa uongozi wa taifa, ni swali aliloulizwa na mwakilishi wa Nigeria, Sola Onadije, ambaye...

 

10 years ago

Dewji Blog

JK ataja changamoto za rais ajaye

IMGL2468

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na viongozi wa jumuiya ya watanzania waishio nchini Sweden jijini Helsinki.

Rais mpya ajaye nchini Tanzania anakabiliwa na changamoto kubwa ya kuhakikisha Tanzania itaendelea kubakia kuwa moja kwa kudumisha Umoja wetu na Amani kwani Tanzania inatokana na muungano wa nchi mbili.

Rais Jakaya Kikwete ameyasema hayo jijini Stockholm – Sweden ambapo alikuwa akiongea na watanzania waishio Sweden mara baada ya kuwasili na kuanza ziara ya kikazi ya siku 3,...

 

9 years ago

Habarileo

Mkapa ataja sifa za rais ajaye

RAIS mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ametaka umma wa Watanzania kutambua aina ya rais anayetakiwa kwa kusema, hachaguliwi rais wa klabu ya mpira, bendi ya muziki au chama cha ushirika, bali wanatakiwa kuchagua amiri jeshi mkuu aliye mwadilifu.

 

10 years ago

Habarileo

Askofu azungumzia sifa za Rais ajaye

ASKOFU Mkuu mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Donald Mtetemela amezungumzia sifa za rais ajae na kusema haoni shida nchi ikipata rais kijana.

 

10 years ago

Habarileo

Bilal: Rais ajaye amhofie Mungu

Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal akimpongeza Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma, Beatus Kinyaiya baada ya kusimikwa kwenye sherehe iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjini Dodoma jana. (Picha na Sifa Lubasi).MAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Ghalib Bilal amesema kigezo kikuu cha Rais ajaye ni kuwa mwenye hofu ya Mungu na Serikali itahakikisha Uchaguzi Mkuu unafanyika kwa misingi ya haki na amani.

 

10 years ago

Mwananchi

Jaji Warioba: Rais ajaye anafahamika

Wakati Taifa zima likiwa katika kitendawili cha kumjua kiongozi wa nchi atakayepatikana baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu, Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema Rais ajaye anafahamika.

 

10 years ago

Mwananchi

Rais ajaye anavyoweza kuongeza ajira

Taarifa za Taasisi ya Taifa ya Takwimu kuwa uchumi wetu unakua kwa kasi ya juu ya wastani wa asilimia 6 - 7 kila mwaka kwa kipindi cha miaka kumi iliyopita haiaminiwi na wananchi wengi kwa sababu vijana wao hawana ajira.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani