JK azungumzia Rais ajaye
NA MWANDISHI WETU, BEIJING
“NINGEPENDA Rais ajaye baada yangu awe bora kuliko mimi.” Ni kauli ya Rais Jakaya Kikwete kwa mabalozi wa Afrika wanaowakilisha nchi zao nchini.
Rais Kikwete ambaye yuko katika ziara ya kikazi mjini hapa, alitoa kauli hiyo juzi alipozungumza na wawakilishi hao wa Afrika na kuwaeleza hali ilivyo Afrika kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Kilichomsukuma Rais kuzungumzia mustakabali huo wa uongozi wa taifa, ni swali aliloulizwa na mwakilishi wa Nigeria, Sola Onadije, ambaye...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo08 Sep
Askofu azungumzia sifa za Rais ajaye
ASKOFU Mkuu mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Donald Mtetemela amezungumzia sifa za rais ajae na kusema haoni shida nchi ikipata rais kijana.
10 years ago
Dewji Blog06 Jun
JK ataja changamoto za rais ajaye
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na viongozi wa jumuiya ya watanzania waishio nchini Sweden jijini Helsinki.
Rais mpya ajaye nchini Tanzania anakabiliwa na changamoto kubwa ya kuhakikisha Tanzania itaendelea kubakia kuwa moja kwa kudumisha Umoja wetu na Amani kwani Tanzania inatokana na muungano wa nchi mbili.
Rais Jakaya Kikwete ameyasema hayo jijini Stockholm – Sweden ambapo alikuwa akiongea na watanzania waishio Sweden mara baada ya kuwasili na kuanza ziara ya kikazi ya siku 3,...
10 years ago
GPL
NATAFUTA KAZI NIMNADI RAIS AJAYE!
10 years ago
Mtanzania06 Jun
JK: Rais ajaye ana kibarua kigumu
Na Mwandishi Wetu,
RAIS Jakaya Kikwete amesema rais ajaye atakabiliwa na changamoto kubwa ya kuhakikisha Tanzania inaendelea kubaki kuwa moja kwa kudumisha umoja huo unaotokana na muungano wa nchi mbili.
Kikwete alitoa kauli hiyo siku chache baada ya makada wa chama hicho kuanza kuchukua fomu kuomba ridhaa ya kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu.
Hadi sasa waliochukua fomu ni mawaziri wakuu wa zamani, Frederick Sumaye na Edward Lowassa, Makamu wa Rais,...
10 years ago
Habarileo19 Jan
Bilal: Rais ajaye amhofie Mungu
MAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Ghalib Bilal amesema kigezo kikuu cha Rais ajaye ni kuwa mwenye hofu ya Mungu na Serikali itahakikisha Uchaguzi Mkuu unafanyika kwa misingi ya haki na amani.
10 years ago
Mwananchi11 May
Lissu asema Dk Slaa ni Rais ajaye
10 years ago
Mwananchi11 Jun
Rais ajaye anavyoweza kuongeza ajira
11 years ago
Tanzania Daima13 Oct
Askofu: Rais ajaye atoke Zanzibar
ASKOFU wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Tanganyika Kusini Magharibi Mathew Mhagama amsema ili kuliunganisha Taifa la Tanzania kuwa moja ni vema Rais ajaye mwakani atoke Zanzibar na si vinginevyo....
10 years ago
Mwananchi20 Jan
Jaji Warioba: Rais ajaye anafahamika