NATAFUTA KAZI NIMNADI RAIS AJAYE!
![](http://api.ning.com:80/files/sRY-hG6lRQ8uDF5zpZ-0R46oQG1XThuXJiBccg6zTtcU11g3VGWsDZ3OdST76RTDp5rTuublqJ4EgfoXbPph4kcDLllyPklt/jakayakikwete1.jpg?width=650)
UCHAGUZI Mkuu wa tano wa Tanzania katika mfumo wa vyama vingi vya siasa unatazamiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Ingawa haijafahamika tarehe wala ni nani hasa atapewa nafasi hiyo ya kumrithi Jakaya Kikwete, angalau majina kadhaa yanatajwa, kutoka kambi zote. Wapo wanaotajwa kutoka CCM na kambi ya upinzani kwa ujumla wao, ambao kwa jinsi tunavyoendelea, ni wazi kuwa watawakilishwa na mgombea kutoka kundi la Ukawa. Kiuhalisia, hawa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper24 Oct
JK azungumzia Rais ajaye
NA MWANDISHI WETU, BEIJING
“NINGEPENDA Rais ajaye baada yangu awe bora kuliko mimi.” Ni kauli ya Rais Jakaya Kikwete kwa mabalozi wa Afrika wanaowakilisha nchi zao nchini.
Rais Kikwete ambaye yuko katika ziara ya kikazi mjini hapa, alitoa kauli hiyo juzi alipozungumza na wawakilishi hao wa Afrika na kuwaeleza hali ilivyo Afrika kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Kilichomsukuma Rais kuzungumzia mustakabali huo wa uongozi wa taifa, ni swali aliloulizwa na mwakilishi wa Nigeria, Sola Onadije, ambaye...
10 years ago
Dewji Blog06 Jun
JK ataja changamoto za rais ajaye
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na viongozi wa jumuiya ya watanzania waishio nchini Sweden jijini Helsinki.
Rais mpya ajaye nchini Tanzania anakabiliwa na changamoto kubwa ya kuhakikisha Tanzania itaendelea kubakia kuwa moja kwa kudumisha Umoja wetu na Amani kwani Tanzania inatokana na muungano wa nchi mbili.
Rais Jakaya Kikwete ameyasema hayo jijini Stockholm – Sweden ambapo alikuwa akiongea na watanzania waishio Sweden mara baada ya kuwasili na kuanza ziara ya kikazi ya siku 3,...
10 years ago
Habarileo19 Jan
Bilal: Rais ajaye amhofie Mungu
MAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Ghalib Bilal amesema kigezo kikuu cha Rais ajaye ni kuwa mwenye hofu ya Mungu na Serikali itahakikisha Uchaguzi Mkuu unafanyika kwa misingi ya haki na amani.
10 years ago
Mtanzania06 Jun
JK: Rais ajaye ana kibarua kigumu
Na Mwandishi Wetu,
RAIS Jakaya Kikwete amesema rais ajaye atakabiliwa na changamoto kubwa ya kuhakikisha Tanzania inaendelea kubaki kuwa moja kwa kudumisha umoja huo unaotokana na muungano wa nchi mbili.
Kikwete alitoa kauli hiyo siku chache baada ya makada wa chama hicho kuanza kuchukua fomu kuomba ridhaa ya kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu.
Hadi sasa waliochukua fomu ni mawaziri wakuu wa zamani, Frederick Sumaye na Edward Lowassa, Makamu wa Rais,...
10 years ago
Mwananchi24 Jun
Zigo la JK Kigoma kwa rais ajaye
9 years ago
Habarileo14 Oct
Mkapa ataja sifa za rais ajaye
RAIS mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ametaka umma wa Watanzania kutambua aina ya rais anayetakiwa kwa kusema, hachaguliwi rais wa klabu ya mpira, bendi ya muziki au chama cha ushirika, bali wanatakiwa kuchagua amiri jeshi mkuu aliye mwadilifu.
10 years ago
Mwananchi20 Jan
Jaji Warioba: Rais ajaye anafahamika
10 years ago
Habarileo09 Oct
‘Katiba ipatikane kabla ya Rais ajaye’
MJUMBE wa Bunge Maalumu, Askofu Amos Mhagache amemwomba Rais Jakaya Kikwete aache amekamilisha mchakato wa kupata Katiba mpya.
10 years ago
Habarileo30 Mar
Wataka Rais ajaye adhibiti ufisadi
WAKATI joto la Urais likishika kasi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa baadaye mwaka huu, wananchi wa Tanzania wameonesha kumtaka rais ambaye atahakikisha anadhibiti rushwa na ufisadi, upatikaji wa ajira na elimu bora nchini.