JK: Rais ajaye ana kibarua kigumu
Na Mwandishi Wetu,
RAIS Jakaya Kikwete amesema rais ajaye atakabiliwa na changamoto kubwa ya kuhakikisha Tanzania inaendelea kubaki kuwa moja kwa kudumisha umoja huo unaotokana na muungano wa nchi mbili.
Kikwete alitoa kauli hiyo siku chache baada ya makada wa chama hicho kuanza kuchukua fomu kuomba ridhaa ya kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu.
Hadi sasa waliochukua fomu ni mawaziri wakuu wa zamani, Frederick Sumaye na Edward Lowassa, Makamu wa Rais,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi14 Dec
Askofu asema JPM ana kibarua kigumu
9 years ago
Mwananchi15 Oct
Kibarua kizito cha kukuza uchumi kwa Rais ajaye
10 years ago
Habarileo18 Oct
Tanesco yapewa kibarua kigumu
MOJA ya sekta zenye mchango katika maendeleo ya mwananchi mmoja mmoja zilizofanyiwa mabadiliko makubwa na ya kasi, ni upatikanaji wa umeme, ambapo Serikali imeagiza Shirika la Umeme (Tanesco), kuunganisha umeme kwa wateja siku ambayo wamelipa gharama za kuunganishiwa huduma hiyo.
10 years ago
BBCSwahili09 Oct
Marekani ina kibarua kigumu Syria
10 years ago
BBCSwahili28 Dec
Chelsea na Man U wapata kibarua kigumu
10 years ago
Mwananchi01 Feb
Rais Lungu ana ‘kibarua’ kutimiza ahadi lukuki alizotoa kwa Wazambia
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DGjgPH8*8vlKXF45tsuSpCVp5Mjeqy*2Wh-5tCqfhHH40EV6M0c72INNMKE7*Fnphc2fnfh8MJDlzlNyg1dSE-5nZMb-xRPu/3.jpg?width=650)
KAJALA: NINA KIBARUA KIGUMU KWA PAULA
9 years ago
MillardAyo04 Jan
Baada ya Chelsea kupitia kipindi kigumu, Terry ana haya, Fabregas na Pedro muda wa kupiga self umepatikana …
Klabu ya soka ya Chelsea January 3 ilivunja mwiko wa kutopata matokeo mazuri kwa kuiadhibu klabu ya Crystal Palace kwa jumla ya goli 3-0 katika uwanja wa ugenini. Chelsea ambayo ilikuwa katika wakati mgumu kwa kupoteza mechi nyingi kuliko kawaida yake, wachezaji wameanza kuwa na furaha na matokeo hayo. Nahodha wa klabu hiyo John Terry […]
The post Baada ya Chelsea kupitia kipindi kigumu, Terry ana haya, Fabregas na Pedro muda wa kupiga self umepatikana … appeared first on...
9 years ago
Mwananchi05 Jan
Profesa Ndalichako ana kibarua cha kuiokoa elimu nchini