Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanesco yapewa kibarua kigumu

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga (wa pili kulia) akiongozwa na Meneja Mwandamizi wa Tanesco Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Mahende Mugaya kukagua miradi ya umeme inayofadhiliwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA), katika kituo cha umeme cha Chalinze mkoani Pwani jana. (Picha na Wizara ya Nishati na Madini).MOJA ya sekta zenye mchango katika maendeleo ya mwananchi mmoja mmoja zilizofanyiwa mabadiliko makubwa na ya kasi, ni upatikanaji wa umeme, ambapo Serikali imeagiza Shirika la Umeme (Tanesco), kuunganisha umeme kwa wateja siku ambayo wamelipa gharama za kuunganishiwa huduma hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Marekani ina kibarua kigumu Syria

Wizara ya ulinzi ya Marekani imesema inafanya kila iwezalo kuzuia wapiganaji wa ISIL kuudhibiti mji wa Syria Kobane.

 

10 years ago

Mtanzania

JK: Rais ajaye ana kibarua kigumu

jkNa Mwandishi Wetu,
RAIS Jakaya Kikwete amesema rais ajaye atakabiliwa na changamoto kubwa ya kuhakikisha Tanzania inaendelea kubaki kuwa moja kwa kudumisha umoja huo unaotokana na muungano wa nchi mbili.
Kikwete alitoa kauli hiyo siku chache baada ya makada wa chama hicho kuanza kuchukua fomu kuomba ridhaa ya kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu.
Hadi sasa waliochukua fomu ni mawaziri wakuu wa zamani, Frederick Sumaye na Edward Lowassa, Makamu wa Rais,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Chelsea na Man U wapata kibarua kigumu

Didier Drogba,Fillipe Luis,Andre Schurrle na John Obi Mikel huenda wakashiriki iwapo the blues itbadilisha kikosi

 

9 years ago

Mwananchi

Askofu asema JPM ana kibarua kigumu

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM), Jesse Angowi amesema Rais John Magufuli ana kibarua kigumu cha kurudisha nidhamu ya kazi na uadilifu kwa watumishi wa umma.

 

10 years ago

GPL

KAJALA: NINA KIBARUA KIGUMU KWA PAULA

Imelda Mtema
Kazi kwelikweli! Mkali wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’ amefunguka kuwa kwa umri aliofikia mwanaye, Paula Paul wa miaka 14 ana kibarua kigumu cha kuhakikisha anakuwa salama hasa kwenye suala la wanaume.
...

 

11 years ago

BBCSwahili

Familia ya Mandela:'Ni kipindi kigumu'

Familia ya Hayati Nelson Mandela imezungumza kwa mara ya kwanza tangu Mandela Kufariki Alhamisi na kuelezea kuwa katika kipindi kigumu

 

9 years ago

Mtanzania

Sefue: Serikali inapita katika kipindi kigumu

Ombeni-SefueNa Jonas Mushi, Dar es Salaam

KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amesema Serikali inapitia kipindi kigumu kutokana na mfululizo wa vifo vya mawaziri wake.

Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam jana baada ya kuupokea mwili wa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda uliowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) saa 9.00 alasiri kwa ndege ya Emirates kutoka New Delhi   India.

Alikuwa ameongozana na viongozi wengine akiwamo Spika wa Bunge, Anne Makinda, Mkuu wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Gerrad ''tunakibarua kigumu kuinua viwango vyetu''

Nahodha wa Liverpool amekiri kuwa timu hiyo inakazi ya ziada kufanya ilikuinua uwezo wao

 

10 years ago

Raia Tanzania

CCM inapitia kipindi kigumu cha majaribu

Uchaguzi wa mwaka huu unafanana kwa kiasi kikubwa na ule wa mwaka 1958, ulikuwa uchaguzi tata uliowagawa wengi. Wanafiki, wasaliti , wakweli na waliotaka mabadiliko walijulikana mwaka huo.

Wazungu walitafuta namna ya kuwagawa Waafrika, walitaka kuwavunja nguvu baada ya kubaini wanaye mtu anaitwa Julius Nyerere anayejua siri ya Waingereza kuwa wamewekwa na Umoja wa Mataifa kulinda koloni hili baada ya Wajerumani kushindwa vita ya pili ya dunia.

Ili ionekane Tanganyika kuna...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani