Sefue: Serikali inapita katika kipindi kigumu
Na Jonas Mushi, Dar es Salaam
KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amesema Serikali inapitia kipindi kigumu kutokana na mfululizo wa vifo vya mawaziri wake.
Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam jana baada ya kuupokea mwili wa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda uliowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) saa 9.00 alasiri kwa ndege ya Emirates kutoka New Delhi India.
Alikuwa ameongozana na viongozi wengine akiwamo Spika wa Bunge, Anne Makinda, Mkuu wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili07 Dec
Familia ya Mandela:'Ni kipindi kigumu'
10 years ago
Raia Tanzania13 Aug
CCM inapitia kipindi kigumu cha majaribu
Uchaguzi wa mwaka huu unafanana kwa kiasi kikubwa na ule wa mwaka 1958, ulikuwa uchaguzi tata uliowagawa wengi. Wanafiki, wasaliti , wakweli na waliotaka mabadiliko walijulikana mwaka huo.
Wazungu walitafuta namna ya kuwagawa Waafrika, walitaka kuwavunja nguvu baada ya kubaini wanaye mtu anaitwa Julius Nyerere anayejua siri ya Waingereza kuwa wamewekwa na Umoja wa Mataifa kulinda koloni hili baada ya Wajerumani kushindwa vita ya pili ya dunia.
Ili ionekane Tanganyika kuna...
5 years ago
MichuziSEKTA YA UTALII NCHINI INAPITIA KIPINDI KIGUMU SANA- NAIBU WAZIRI KANYASU
9 years ago
MillardAyo04 Jan
Baada ya Chelsea kupitia kipindi kigumu, Terry ana haya, Fabregas na Pedro muda wa kupiga self umepatikana …
Klabu ya soka ya Chelsea January 3 ilivunja mwiko wa kutopata matokeo mazuri kwa kuiadhibu klabu ya Crystal Palace kwa jumla ya goli 3-0 katika uwanja wa ugenini. Chelsea ambayo ilikuwa katika wakati mgumu kwa kupoteza mechi nyingi kuliko kawaida yake, wachezaji wameanza kuwa na furaha na matokeo hayo. Nahodha wa klabu hiyo John Terry […]
The post Baada ya Chelsea kupitia kipindi kigumu, Terry ana haya, Fabregas na Pedro muda wa kupiga self umepatikana … appeared first on...
10 years ago
Dewji Blog06 May
Balozi Sefue azindua timu ya wataalam wa serikali wa kufanya mazungumzo katika mikataba ya gesi asilia na mafuta
Afisa Mtendaji Mkuu wa UONGOZI Institute...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-b8bK2UAAHgs/VUsWwt7jYQI/AAAAAAAHV0o/WIeSq-jwVto/s72-c/unnamed%2B(63).jpg)
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue azindua timu ya wataalam wa serikali wa kufanya mazungumzo katika mikataba ya gesi asilia na mafuta
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Sy7McT45ZoI/XsVwKwfE6II/AAAAAAALrBM/54t5sZGHl0g-fcaR8quxQZXx5Pt7kDHZwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_5360AA-768x512.jpg)
SERIKALI INAHAKIKISHA WALENGWA WA CHANJO WANAFIKIWA KATIKA KIPINDI CHA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-Sy7McT45ZoI/XsVwKwfE6II/AAAAAAALrBM/54t5sZGHl0g-fcaR8quxQZXx5Pt7kDHZwCLcBGAsYHQ/s640/IMG_5360AA-768x512.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/IMG_5378AAAA-1024x682.jpg)
Alama zinazoelekeza mteja anayefika kliniki ya hospitali ya wilatya Mlandizi kukaa kwa umbali unaostahili
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/IMG_5385AAA-1024x682.jpg)
Wazazi waliofika kwenye hospitali ya mlandizi walivyokaa kwa kuzingatia umbali kati ya mtu na mtu
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/IMG_5398AAA-1024x682.jpg)
Ukaguzi ukiendelea kwenye...
5 years ago
MichuziWanawake katika kipindi cha serikali ya awamu ya Tano wamefanya vizuri –Katibu Tawala Makame
*Maafisa Rasilamali watakiwa kufuata sheria za upandishaji Vyeo
Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
Wanawake wengi waliopata nafasi wameonyesha uwezo wa kufanya vizuri hali ambayo imefanya kubaki katika nafasi zao ikilinganishwa na wanaume kwa kipindi cha miaka mitano.
Hayo aliysema Katibu wa Tawala Wilaya Ilala Jabir Makame katika kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake kwa Chuo cha Biashara (CBE). Makame ambaye...