Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM inapitia kipindi kigumu cha majaribu

Uchaguzi wa mwaka huu unafanana kwa kiasi kikubwa na ule wa mwaka 1958, ulikuwa uchaguzi tata uliowagawa wengi. Wanafiki, wasaliti , wakweli na waliotaka mabadiliko walijulikana mwaka huo.

Wazungu walitafuta namna ya kuwagawa Waafrika, walitaka kuwavunja nguvu baada ya kubaini wanaye mtu anaitwa Julius Nyerere anayejua siri ya Waingereza kuwa wamewekwa na Umoja wa Mataifa kulinda koloni hili baada ya Wajerumani kushindwa vita ya pili ya dunia.

Ili ionekane Tanganyika kuna...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SEKTA YA UTALII NCHINI INAPITIA KIPINDI KIGUMU SANA- NAIBU WAZIRI KANYASU

 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu akizungumza na wananchi wa  Kijiji cha Mahenge mara baada ya kufanya ziara ya kuwasikiliza na kujionea athari zilizosababishwa na wanyamapori wakali na waharibifu walivyoharibu mazao katika mashamba ya Wananchi hao katika mkutano uliofanyika katika wilaya ya Kilolo mkoani Iringa  Naibu Waziri wa Malasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Kilolo, Mwajuma Nasombe kabla ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Familia ya Mandela:'Ni kipindi kigumu'

Familia ya Hayati Nelson Mandela imezungumza kwa mara ya kwanza tangu Mandela Kufariki Alhamisi na kuelezea kuwa katika kipindi kigumu

 

9 years ago

Mtanzania

Sefue: Serikali inapita katika kipindi kigumu

Ombeni-SefueNa Jonas Mushi, Dar es Salaam

KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amesema Serikali inapitia kipindi kigumu kutokana na mfululizo wa vifo vya mawaziri wake.

Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam jana baada ya kuupokea mwili wa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda uliowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) saa 9.00 alasiri kwa ndege ya Emirates kutoka New Delhi   India.

Alikuwa ameongozana na viongozi wengine akiwamo Spika wa Bunge, Anne Makinda, Mkuu wa...

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya Chelsea kupitia kipindi kigumu, Terry ana haya, Fabregas na Pedro muda wa kupiga self umepatikana …

Klabu ya soka ya Chelsea January 3 ilivunja mwiko wa kutopata matokeo mazuri kwa kuiadhibu klabu ya Crystal Palace kwa jumla ya goli 3-0 katika uwanja wa ugenini. Chelsea ambayo ilikuwa katika wakati mgumu kwa kupoteza mechi nyingi kuliko kawaida yake, wachezaji wameanza kuwa na furaha na matokeo hayo. Nahodha wa klabu hiyo John Terry […]

The post Baada ya Chelsea kupitia kipindi kigumu, Terry ana haya, Fabregas na Pedro muda wa kupiga self umepatikana … appeared first on...

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

Kipindi cha fursa ya biashara ya mavazi ya CCM chawadia mjini Dodoma

 Kuelekea kwenye Mikutano Mikubwa ya Chama cha Mapinduzi ya kupendekeza jina la Mgombea Urais wa CCM kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Mwezi Oktoba mwaka huu, Fursa ya biashara ya mavazi ya Chama hicho imeendelea kushamiri kwa wafanya biashara wadogo waliopamba uzio Jengo la Makao Makuu ya CCM Mkoani Dodoma kwa mavazi ya rangi za kijani na njano kama inavyoonekana pichani.  Sehemu ya wafanyabiara kutoka maeneo mbali mbali, wakiwa wamepanga biashara zao nje ya Uzio wa Jengo la Makao...

 

10 years ago

GPL

MKUU WA MKOA DODOMA AZUNGUMZIA HALI YA USALAMA KATIKA KIPINDI CHA MIKUTANO YA CCM

Mkuu wa Mkoa Dodoma, Chiku Gallawa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), juu ya uwepo wa Mikutano Mikubwa ya CCM katika mkoa wake, inayotarajiwa kuanza rasmi kesho. Sehemu ya wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa wakati akizungumza nao juu ya uwepo wa Mikutano Mikubwa ya Chama cha Mapinduzi katika mkoa wake.… ...

 

10 years ago

Michuzi

MAGUFULI AWATAKA WANA CCM KUSHIKAMANA NA KUWA WAMOJA HASA KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI.

Dkt John Pombe Magufuli kwa pamoja akicheza wimbo wa Adinselema uliokuwa ukiimbwa na wanachama hao mara baada ya kumpokea na kuamsha shamra shamra na shangwe za hapa na pale.Pichani kulia ni Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM,Mama Salma Kikwete akishuhudia.Mgombea Uraisi wa chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli akipokelewa kwa shangwe na shamra shamra kutoka kwa wanachama na wafuasi wa chama cha CCM waliokuwa wamekusanyika nje ya ofisi za CCM mkoa wa Lindi,alipofika...

 

5 years ago

Michuzi

CCM BAGAMOYO YARIDHISHWA NA KAZI YA UTEKELEZAJI WA ILANI ILIYOFANYWA NA MGALU KIPINDI CHA MIAKA MITANO





****************************
NA MWAMVUA MWINYI, PWANI  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani, kimeelezea kuridhishwa na kazi kubwa inayofanywa na Mbunge wa Viti Maalumu mkoani hapo ,Subira Mgalu.
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa chama hicho wilayani hapa Alhaj Abdul Sharifu, katika Baraza la Jumuia ya Wanawake (UWT) lililofanyika Msata, ambapo Mgalu na Madiwani wa Viti Maalumu walisoma taarifa za utekelezaji wa kazi zao, katika kipindi cha miaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani