CCM BAGAMOYO YARIDHISHWA NA KAZI YA UTEKELEZAJI WA ILANI ILIYOFANYWA NA MGALU KIPINDI CHA MIAKA MITANO
![](https://1.bp.blogspot.com/-aijc8BHZnRU/XuJWKJZ4EJI/AAAAAAALteU/DOZf3LvFrmgTRIwmDG6t2UosFZIBJRPvQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200611-WA0021.jpg)
****************************
NA MWAMVUA MWINYI, PWANI CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani, kimeelezea kuridhishwa na kazi kubwa inayofanywa na Mbunge wa Viti Maalumu mkoani hapo ,Subira Mgalu.
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa chama hicho wilayani hapa Alhaj Abdul Sharifu, katika Baraza la Jumuia ya Wanawake (UWT) lililofanyika Msata, ambapo Mgalu na Madiwani wa Viti Maalumu walisoma taarifa za utekelezaji wa kazi zao, katika kipindi cha miaka...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziCCM yaridhishwa na utekelezaji wa Ilani kata ya Utengule,Makambako
Uongozi wa Chama cha mapinduzi (CCM) wilaya ya Njombe umesema umeridhishwa na utekelezaji wa Ilani ya Chama hicho katika kata ya Utengule halmashauri ya mji wa Makambako,kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia 2015-2020.
Hayo yamesemwa na mjumbe wa kamati ya siasa ya wilaya ya Njombe ambaye ni mwenyekiti wa halmashauri ya mji wa Makambako HANANA MFIKWA wakati akipokea taarifa ya utekelezaji wa Ilani hiyo,ambapo amesema,miradi yote ikiwemo ya afya,miundombinu ya...
11 years ago
MichuziMAFANIKIO NA CHANGAMOTO ZA CUF KIPINDI CHA MIAKA MITANO VIWE VITENDEA KAZI KWA UONGOZI MPYA
Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwasilisha taarifa ya chama hicho kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita kwenye mkutano mkuu wa chama hicho unaofanyika Ubungo Plaza Dar es Salaam.
5 years ago
CCM Blog14 Jun
5 years ago
MichuziMKURUGENZI KAGURUMJULI AWEKA HISTORIA KINONDONI KUKAMILISHA MIRADI YA BILIONI 231.8 KWA KIPINDI CHA MIAKA MITANO ALAT YA MTUNUKU TUZO
Akisoma taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Halmashauri hiyo katika kipindi hicho Mkurugenzi Ndug. Aron Kagurumjuli amesema kuwa kwaupande wa miradi ya kisekta imefanikiwa kutekeleza shughuli mbalimbali za kiuchumi, kisiasa, kijamii pamoja na miradi ya Maendeleo kwa...
5 years ago
MichuziMKURUGENZI KAGURUMJULI AWEKA HISTORIA KINONDONI KUKAMILISHA MIRADI YA TAKRIBAN BILIONI 242.8 KWA KIPINDI CHA MIAKA MITANO, ALAT YAMPA TUZO.
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imeweka historia katika suala la utekelezaji wa miradi ya maendeleo na ile ya kimkakati kwa kipindi cha miaka mitano iliyogharimu takribani shilingi bilioni 242.8 fedha zilizotokana na vyanzo vya mapato ya ndani, Serikali kuu na wadau wengine wa maendeleo.
Taarifa hii imetolewa wakati wa uwasilishaji wa taarifa za utekelezaji wa shughuli za Serikali kwa kipindi cha miaka mitano katika kikao cha mwisho cha Baraza la Madiwani kilichofanyika leo katika...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-wi0UxkVfhqE/Xufkt3ZLn7I/AAAAAAALt-E/-n5K7AVHqS0-7eppGtYWC0dSBYRRnsoFgCLcBGAsYHQ/s72-c/maxresdefault.jpg)
KAMATI YA BAJETI YAELEZA ILIVYOKUWA IKIWASILISHA MAOMBI KWA SERIKALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITANO KUOMBA KUONDOLEWA USHURU KWENYE CHUPA ZA MVINYO
![](https://1.bp.blogspot.com/-wi0UxkVfhqE/Xufkt3ZLn7I/AAAAAAALt-E/-n5K7AVHqS0-7eppGtYWC0dSBYRRnsoFgCLcBGAsYHQ/s400/maxresdefault.jpg)
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti kupitia kwa Mwenyekiti wa kamati hiyo Mashimba Ndaki amesema kwa miaka mitano sasa kamati hiyo imekuwa ikiwasilisha maombi serikalini ya kuondoa ushuru wa bidhaa kwa chupa zinazotumika kwa ajili ya kufungashia mvinyo unazalishwa nchini.
Akizungumza leo Juni 15,2020 Bungeni Mjini Dodoma Ndaki amesema kwa sasa chupa zinazoingizwa nchini zinatozwa ushuru wa bidhaa kwa asilimia 25, pamoja na tozo nyingine za serikali na hivyo...
10 years ago
Habarileo14 Oct
Kigwangalla: Ni makosa kubeza kazi kubwa iliyofanywa na CCM
MBUNGE wa Nzega, Dk Hamisi Kigwangalla amewataka Watanzania kutokejeli utendaji na kazi kubwa inayofanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na viongozi wake katika kutekeleza Ilani kwa kuwaletea wananchi wake maendeleo, kwa madai kuwa si viongozi wote walio ndani ya “Boti ya CCM” ni wabovu.
11 years ago
Habarileo03 Mar
Diwani Chadema ahamasisha utekelezaji wa Ilani ya CCM
DIWANI wa Kata ya Zombo wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Issa Said Libenaga (Chadema), amesema haoni sababu ya kushindwa kusimamia utekelezaji wa Ilani ya CCM.
5 years ago
CCM Blog22 May