MKURUGENZI KAGURUMJULI AWEKA HISTORIA KINONDONI KUKAMILISHA MIRADI YA BILIONI 231.8 KWA KIPINDI CHA MIAKA MITANO ALAT YA MTUNUKU TUZO
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni limeweka historia ya ukamilishaji wa miradi mikubwa kwa kipidi cha miaka mitano ya uongozi wa Mhe. Rais Dk. John Magufuli iliyogharimu kiasi cha Shilingi Bilioni 231.8.
Akisoma taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Halmashauri hiyo katika kipindi hicho Mkurugenzi Ndug. Aron Kagurumjuli amesema kuwa kwaupande wa miradi ya kisekta imefanikiwa kutekeleza shughuli mbalimbali za kiuchumi, kisiasa, kijamii pamoja na miradi ya Maendeleo kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziMKURUGENZI KAGURUMJULI AWEKA HISTORIA KINONDONI KUKAMILISHA MIRADI YA TAKRIBAN BILIONI 242.8 KWA KIPINDI CHA MIAKA MITANO, ALAT YAMPA TUZO.
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imeweka historia katika suala la utekelezaji wa miradi ya maendeleo na ile ya kimkakati kwa kipindi cha miaka mitano iliyogharimu takribani shilingi bilioni 242.8 fedha zilizotokana na vyanzo vya mapato ya ndani, Serikali kuu na wadau wengine wa maendeleo.
Taarifa hii imetolewa wakati wa uwasilishaji wa taarifa za utekelezaji wa shughuli za Serikali kwa kipindi cha miaka mitano katika kikao cha mwisho cha Baraza la Madiwani kilichofanyika leo katika...
5 years ago
MichuziMADIWANI KINONDONI WAMPONGEZA MEYA SITTA, MKURUGENZI KAGURUMJULI KWA KUFANYA VIZURI KWENYE MIRADI YA MAENDELEO
Pongezi hizo zimetolewa na Madiwani hao wakati wa kikao cha Baraza la madiwani robo ya tatu ya mwaka ambapo wamesema kuwa katika kipindi ambacho wamekuwa madiwani wameshuhudia miradi mikubwa ambayo imetekelezwa ikiwa ni juhudi kubwa zinazofanywa na viongozi...
5 years ago
MichuziKAGURUMJULI APONGEZWA KINONDONI KUPATA HATI SAFI MIAKA MITANO MFULULIZO .
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni,Mhe. Benjamini Sitta akifuatilia hoja iliyokuwa ikiwasilishwa na Mkaguzi mkuu wa hesabu za nje, kulia ni Mkurugenzi Ndug. Aron KagurumjuliBaadhi ya madiwani na watumishi ...
11 years ago
MichuziMAFANIKIO NA CHANGAMOTO ZA CUF KIPINDI CHA MIAKA MITANO VIWE VITENDEA KAZI KWA UONGOZI MPYA
Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwasilisha taarifa ya chama hicho kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita kwenye mkutano mkuu wa chama hicho unaofanyika Ubungo Plaza Dar es Salaam.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu wa CUF Taifa, wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, wakati akiwasilisha taarifa ya chama hicho kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita kwenye mkutano mkuu wa chama hicho unaofanyika Ubungo Plaza Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa CUF...
5 years ago
MichuziMKURUGENZI KAGURUMJULI APONGEZWA KINONDONI KUONGOZA MARA NNE MFULULIZO MATOKEO KIDATO CHA NNE NA PILI KIMKOA
Mkuu wa shule ya Sekondari ya Canosa sister Irine Nakamanya akipokea cheti cha pongezi kwa shule hiyo kufanya vizuri kwenye matokeo ya kidato cha nne na pili.Wanafunzi na walimu waliokuwa katika hafla ya kupongezwa kwa kufanya vizuri katika matokeo ya kidato cha nne na cha pili mwaka 2019. Hafla hiyo imeandaliwa na Idara ya elimu Sekondari.
5 years ago
MichuziKAMATI YA BAJETI YAELEZA ILIVYOKUWA IKIWASILISHA MAOMBI KWA SERIKALI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITANO KUOMBA KUONDOLEWA USHURU KWENYE CHUPA ZA MVINYO
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti kupitia kwa Mwenyekiti wa kamati hiyo Mashimba Ndaki amesema kwa miaka mitano sasa kamati hiyo imekuwa ikiwasilisha maombi serikalini ya kuondoa ushuru wa bidhaa kwa chupa zinazotumika kwa ajili ya kufungashia mvinyo unazalishwa nchini.
Akizungumza leo Juni 15,2020 Bungeni Mjini Dodoma Ndaki amesema kwa sasa chupa zinazoingizwa nchini zinatozwa ushuru wa bidhaa kwa asilimia 25, pamoja na tozo nyingine za serikali na hivyo...
5 years ago
MichuziCCM BAGAMOYO YARIDHISHWA NA KAZI YA UTEKELEZAJI WA ILANI ILIYOFANYWA NA MGALU KIPINDI CHA MIAKA MITANO
****************************
NA MWAMVUA MWINYI, PWANI CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani, kimeelezea kuridhishwa na kazi kubwa inayofanywa na Mbunge wa Viti Maalumu mkoani hapo ,Subira Mgalu.
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa chama hicho wilayani hapa Alhaj Abdul Sharifu, katika Baraza la Jumuia ya Wanawake (UWT) lililofanyika Msata, ambapo Mgalu na Madiwani wa Viti Maalumu walisoma taarifa za utekelezaji wa kazi zao, katika kipindi cha miaka...
11 years ago
MichuziMANISPAA YA KINONDONI YAPITISHA BAJETI YA SHS.BILIONI 121 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI MBALI MBALI
Akitoa taarifa hiyo Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mheshimiwa Yusuph Mwenda alisema fedha hizo zimetokana na makusanyo ya vyanzo vya mapato , pesa kutoka ruzuku serikali kuu,Tamisemi,pesa za makusanyo ya ndani ya Halmashauri .Kwa sasa Halmashauri ina uwezo wa kujiendesha ...
9 years ago
VijimamboMTEMVU TUCHAGUENI TUMALIZIE MIRADI YA MAENDELEO YA MIAKA MITANO TULIYOPANGA
Katibu Mwenezi wa Jimbo la Temeke, Ali Kamtande...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10