CCM yaridhishwa na utekelezaji wa Ilani kata ya Utengule,Makambako
Na Amiri kilagalila,Njombe
Uongozi wa Chama cha mapinduzi (CCM) wilaya ya Njombe umesema umeridhishwa na utekelezaji wa Ilani ya Chama hicho katika kata ya Utengule halmashauri ya mji wa Makambako,kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia 2015-2020.
Hayo yamesemwa na mjumbe wa kamati ya siasa ya wilaya ya Njombe ambaye ni mwenyekiti wa halmashauri ya mji wa Makambako HANANA MFIKWA wakati akipokea taarifa ya utekelezaji wa Ilani hiyo,ambapo amesema,miradi yote ikiwemo ya afya,miundombinu ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziCCM BAGAMOYO YARIDHISHWA NA KAZI YA UTEKELEZAJI WA ILANI ILIYOFANYWA NA MGALU KIPINDI CHA MIAKA MITANO
****************************
NA MWAMVUA MWINYI, PWANI CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani, kimeelezea kuridhishwa na kazi kubwa inayofanywa na Mbunge wa Viti Maalumu mkoani hapo ,Subira Mgalu.
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa chama hicho wilayani hapa Alhaj Abdul Sharifu, katika Baraza la Jumuia ya Wanawake (UWT) lililofanyika Msata, ambapo Mgalu na Madiwani wa Viti Maalumu walisoma taarifa za utekelezaji wa kazi zao, katika kipindi cha miaka...
11 years ago
Habarileo03 Mar
Diwani Chadema ahamasisha utekelezaji wa Ilani ya CCM
DIWANI wa Kata ya Zombo wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Issa Said Libenaga (Chadema), amesema haoni sababu ya kushindwa kusimamia utekelezaji wa Ilani ya CCM.
5 years ago
CCM Blog22 May
9 years ago
Michuzi30 Aug
MGOMBEA MWENZA WA CCM SAMIAH SULUHU ANADI ILANI YA CCM MWAKA 2015 KATIKA KATA YA KYENGEGE,WILAYA YA IRAMBA
Bi.Samiah Suluhu ambaye ni Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kwa...
5 years ago
CCM BlogTAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM YA MBUNGE WA KOROGWE MJINI MH. MARY CHATANDA
UTANGULIZI
Jimbo la Korogwe Mjini linaundwa na Kata 11 ambazo ni Kata ya Manundu, Majengo, Mtonga, Masuguru, Magunga, Old Korogwe, Kwamndolwa, Kwamsisi, Kilole, Bagamoyo na Mgombezi.
Idadi ya Watu ni 68308 ambapo Wanaume (me) 32912 na Wanawake (ke) 35386, kwa sensa ya 2012 maoteo ya 2018 me 38392 na ke 41289 jumla 79681, Mitaa 22, Vijiji 07 na Vitongoji 35.
Baada ya Uchaguzi Mkuu uliomalizika Oktoba 2015, Mbunge wa Jimbo hilo, Ndugu Mary Chatanda aliapishwa rasmi na kuanza majukumu ya...
11 years ago
Michuzi02 Aug
MANISPAA YA KINONDONI YAFANYA MAKUBWA UTEKELEZAJI ILANI YA CCM JIMBO LA KAWE
5 years ago
CCM Blog5 years ago
CCM Blog5 years ago
CCM BlogTAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM NA AHADI ZA MBUNGE JIMBO LA CHALINZE 2015-2020
Mheshimiwa Ridhiwani Jakaya KikweteSALAMU KUTOKA KWA MHESHIMIWA RIDHIWANI JAKAYA KIKWETE MBUNGE WA CHALINZE (2015-2020)
Mwaka 1995 Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Gazeti lake la Serikali ilitangaza jimbo jipya
la Uchaguzi la Chalinze lenye Kata 15 katika Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.
Katika kipindi cha Miaka ishirini na mitano (25) toka kuanzish￾wa kwa jimbo hili la uchaguzi, tumeshuhudia maendeleo makubwa.
Pamoja na maendeleo yaliyopatikana katika kipindi hicho,...