MANISPAA YA KINONDONI YAFANYA MAKUBWA UTEKELEZAJI ILANI YA CCM JIMBO LA KAWE
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, wakiwa kwenye Jengo la mapokezi ya wagonjwa (OPD) ambalo linajengwa katika eneo la Mabwepande, likiwa ni sehemu ya Hospitali ya Jimbo la Kawe katika Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, walipotembelea kiradi mbalimbali ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM ya 2010-2015 katika jimbo la Kawe. Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yussuf Mwenda, akizungumza na watumishi wa Manispaa hiyo yeye na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi02 Aug
MANISPAA YA KINONDONI YAENDELEA NA UTEKELEZA WA ILANI YA CCM JIMBO LA KAWE
5 years ago
CCM Blog17 May
MBUNGE ALMAS MAIGE WA TABORA KASKAZINI AFANYA MAKUBWA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM 2015-2020
Jimbo la Tabora Kaskazini ni kati ya Majimbo 12 ya uchaguzi kwa Mkoa wa Tabora, lina Kata 19.
Kwa kuwa mambo mengi yaliyofanywa na Mbunge wa jimbo hilo Ndugu Almas Athuman Maige katika utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichompa ridhaa ya kugombea Ubunge na hatimaye kushinda kuwa Mwakilishi wa wana Tabora Kaskazini kwa nafasi ya Ubunge, yeye na timu yake wametumia mda wao kutengeneza au kuandika Taarifa ya utekelezaji huo katika kipindi cha miaka mitano, kuanzia Oktoba 2015...
5 years ago
CCM BlogTAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM NA AHADI ZA MBUNGE JIMBO LA CHALINZE 2015-2020
Mheshimiwa Ridhiwani Jakaya KikweteSALAMU KUTOKA KWA MHESHIMIWA RIDHIWANI JAKAYA KIKWETE MBUNGE WA CHALINZE (2015-2020)
Mwaka 1995 Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Gazeti lake la Serikali ilitangaza jimbo jipya
la Uchaguzi la Chalinze lenye Kata 15 katika Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.
Katika kipindi cha Miaka ishirini na mitano (25) toka kuanzish￾wa kwa jimbo hili la uchaguzi, tumeshuhudia maendeleo makubwa.
Pamoja na maendeleo yaliyopatikana katika kipindi hicho,...
5 years ago
CCM Blog5 years ago
CCM Blog10 years ago
MichuziMWENYEKITI WA CHADEMA NA MBUNGE WA HAI FREEMAN MBOWE AZINDUA KITABU CHA UTEKELEZAJI AHADI ZA JIMBO LA KAWE
11 years ago
Habarileo03 Mar
Diwani Chadema ahamasisha utekelezaji wa Ilani ya CCM
DIWANI wa Kata ya Zombo wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Issa Said Libenaga (Chadema), amesema haoni sababu ya kushindwa kusimamia utekelezaji wa Ilani ya CCM.
5 years ago
CCM Blog22 May
5 years ago
MichuziCCM yaridhishwa na utekelezaji wa Ilani kata ya Utengule,Makambako
Uongozi wa Chama cha mapinduzi (CCM) wilaya ya Njombe umesema umeridhishwa na utekelezaji wa Ilani ya Chama hicho katika kata ya Utengule halmashauri ya mji wa Makambako,kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia 2015-2020.
Hayo yamesemwa na mjumbe wa kamati ya siasa ya wilaya ya Njombe ambaye ni mwenyekiti wa halmashauri ya mji wa Makambako HANANA MFIKWA wakati akipokea taarifa ya utekelezaji wa Ilani hiyo,ambapo amesema,miradi yote ikiwemo ya afya,miundombinu ya...