Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diwani Chadema ahamasisha utekelezaji wa Ilani ya CCM

DIWANI wa Kata ya Zombo wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Issa Said Libenaga (Chadema), amesema haoni sababu ya kushindwa kusimamia utekelezaji wa Ilani ya CCM.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

CCM yaridhishwa na utekelezaji wa Ilani kata ya Utengule,Makambako

Na Amiri kilagalila,Njombe

Uongozi wa Chama cha mapinduzi (CCM) wilaya ya Njombe umesema umeridhishwa na utekelezaji wa Ilani ya Chama hicho katika kata ya Utengule halmashauri ya mji wa Makambako,kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia 2015-2020.

Hayo yamesemwa na mjumbe wa kamati ya siasa ya wilaya ya Njombe ambaye ni mwenyekiti wa halmashauri ya mji wa Makambako HANANA MFIKWA wakati akipokea taarifa ya utekelezaji wa Ilani hiyo,ambapo amesema,miradi yote ikiwemo ya afya,miundombinu ya...

 

11 years ago

Michuzi

MANISPAA YA KINONDONI YAFANYA MAKUBWA UTEKELEZAJI ILANI YA CCM JIMBO LA KAWE

 Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, wakiwa kwenye Jengo la mapokezi ya wagonjwa (OPD) ambalo linajengwa katika eneo la Mabwepande, likiwa ni sehemu ya Hospitali ya Jimbo la Kawe katika Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, walipotembelea kiradi mbalimbali ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM ya 2010-2015 katika jimbo la Kawe. Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yussuf Mwenda, akizungumza na watumishi wa Manispaa hiyo yeye na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya...

 

5 years ago

CCM Blog

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM YA MBUNGE WA KOROGWE MJINI MH. MARY CHATANDA

 
UTANGULIZI
Jimbo la Korogwe Mjini linaundwa na Kata 11 ambazo ni Kata ya Manundu, Majengo, Mtonga, Masuguru, Magunga, Old Korogwe, Kwamndolwa, Kwamsisi, Kilole, Bagamoyo na Mgombezi. 

Idadi ya Watu ni 68308 ambapo Wanaume (me) 32912 na Wanawake (ke) 35386, kwa sensa ya 2012 maoteo ya 2018 me 38392 na ke 41289 jumla 79681, Mitaa 22, Vijiji 07 na Vitongoji 35.

Baada ya Uchaguzi Mkuu uliomalizika Oktoba 2015, Mbunge wa Jimbo hilo, Ndugu Mary Chatanda aliapishwa rasmi na kuanza majukumu ya...

 

5 years ago

CCM Blog

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM NA AHADI ZA MBUNGE JIMBO LA CHALINZE 2015-2020


Mheshimiwa Ridhiwani Jakaya KikweteSALAMU KUTOKA KWA MHESHIMIWA RIDHIWANI JAKAYA KIKWETE MBUNGE WA CHALINZE (2015-2020)

Mwaka 1995 Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Gazeti lake la Serikali ilitangaza jimbo jipya
la Uchaguzi la Chalinze lenye Kata 15 katika Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.

Katika kipindi cha Miaka ishirini na mitano (25) toka kuanzish￾wa kwa jimbo hili la uchaguzi, tumeshuhudia maendeleo makubwa.

Pamoja na maendeleo yaliyopatikana katika kipindi hicho,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani