Kigwangalla: Ni makosa kubeza kazi kubwa iliyofanywa na CCM
MBUNGE wa Nzega, Dk Hamisi Kigwangalla amewataka Watanzania kutokejeli utendaji na kazi kubwa inayofanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na viongozi wake katika kutekeleza Ilani kwa kuwaletea wananchi wake maendeleo, kwa madai kuwa si viongozi wote walio ndani ya “Boti ya CCM” ni wabovu.
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
CCM BAGAMOYO YARIDHISHWA NA KAZI YA UTEKELEZAJI WA ILANI ILIYOFANYWA NA MGALU KIPINDI CHA MIAKA MITANO


****************************
NA MWAMVUA MWINYI, PWANI CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani, kimeelezea kuridhishwa na kazi kubwa inayofanywa na Mbunge wa Viti Maalumu mkoani hapo ,Subira Mgalu.
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa chama hicho wilayani hapa Alhaj Abdul Sharifu, katika Baraza la Jumuia ya Wanawake (UWT) lililofanyika Msata, ambapo Mgalu na Madiwani wa Viti Maalumu walisoma taarifa za utekelezaji wa kazi zao, katika kipindi cha miaka...
10 years ago
MichuziLOWASSA- NAWAPONGEZA KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA NA NAPE KWA KAZI KUBWA WANAYOIFANYA YA KUKIIMARISHA CHAMA
10 years ago
Michuzi
CHAMA CHA CCM KINAKABILIWA NA KAZI KUBWA YA KUHAKIKISHA KINASHIDA UCHAGUZI WA MWAKA HUU-BALOZI SEIF ALI IDDI.



11 years ago
Mwananchi25 Jan
Dk Kigwangalla hatarini CCM
Mbunge wa Nzega (CCM), Dk Hamis Kigwangalla yuko hatarini kuvuliwa uanachama wa chama hicho, hatua ambayo endapo itachukuliwa itasababisha apoteze nafasi yake ya ubunge.
9 years ago
Michuzi05 Jan
DK. KIGWANGALLA AFANYA ZIARA MUHIMBILI NA KUKAGUA MASHINE ZA CT-SCAN NA MRI, AFURAHISHWA NA UTENDAJI KAZI

11 years ago
Mwananchi15 Jul
Baadhi ya makosa wafanyayo viongozi mahali pa kazi — 1
Ni ukweli usiopingika kuwa kufanya makosa ni sehemu ya ubinadamu na kukosea ni kujifunza. Pia, wahenga walinena kujikwaa si kuanguka.Â
5 years ago
Michuzi
DKT. KIGWANGALLA AELEZA MAFANIKIO YA CCM JIMBO LA NZEGA VIJIJINI


10 years ago
Michuzi
JITAMBUE KISHERIA UNAPOFUKUZWA KAZI KWA MAKOSA YA KINIDHAMU.
Na Bashir Yakub
Kisheria yapo mambo mengi ambayo huweza kubatilisha mkataba wa ajira kati ya mwajiri na mwajiriwa. Mkataba wa ajira sawa na mikataba mingine yote huzaliwa, huishi na hufa. Huzaliwa pale tu unaposainiwa , huishi pale unapoanza kutekelezwa na hufa pale yanapojitokeza baadhi ya mambo ambayo yameainishwa na sheria kama mambo yanayoua mkataba wa ajira. Aidha zipo taratibu maalum za kumaliza/kuua mkataba wa ajira na hii ...

10 years ago
Vijimambo
Salamu za Mbunge wa Nzega -CCM Dr. Hamisi Kigwangalla kwa Watanzania , Mwaka Mpya 2015

Mbunge wa Nzega -CCM Dr Hamisi Kigwangalla-Ni Mwaka Mpya Tena! Dr. Hamisi Kigwangalla, MB.Ndugu Watanzania wenzangu,Kwa heshima na taadhima na kwa moyo wa kiutumishi, najisikia furaha kuwatumia salamu za Mwaka mpya 2015. Kwa hakika Mungu amekuwa mwema sana kwangu na kwako mwaka 2014 kwa namna nyingi mbalimbali, ila kwa kiasi kikubwa kwa kutujalia zawadi ya uhai, mafanikio kwenye kazi zetu, uvumilivu tulipoanguka, nguvu tulipokutana na changamoto mbalimbali, na uwezo wa kupambana nazo...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10