SEKTA YA UTALII NCHINI INAPITIA KIPINDI KIGUMU SANA- NAIBU WAZIRI KANYASU
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mahenge mara baada ya kufanya ziara ya kuwasikiliza na kujionea athari zilizosababishwa na wanyamapori wakali na waharibifu walivyoharibu mazao katika mashamba ya Wananchi hao katika mkutano uliofanyika katika wilaya ya Kilolo mkoani Iringa
Naibu Waziri wa Malasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Kilolo, Mwajuma Nasombe kabla ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania13 Aug
CCM inapitia kipindi kigumu cha majaribu
Uchaguzi wa mwaka huu unafanana kwa kiasi kikubwa na ule wa mwaka 1958, ulikuwa uchaguzi tata uliowagawa wengi. Wanafiki, wasaliti , wakweli na waliotaka mabadiliko walijulikana mwaka huo.
Wazungu walitafuta namna ya kuwagawa Waafrika, walitaka kuwavunja nguvu baada ya kubaini wanaye mtu anaitwa Julius Nyerere anayejua siri ya Waingereza kuwa wamewekwa na Umoja wa Mataifa kulinda koloni hili baada ya Wajerumani kushindwa vita ya pili ya dunia.
Ili ionekane Tanganyika kuna...
5 years ago
Michuzi
NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII KANYASU AKERWA NA WAVAMIZI WA MAENEO YA HIFADHI

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu akioneshwa eneo na Afisa Wanyamapori wa Wilaya ya Babati, Felix Mwasenga katika Ushoroba wa Kwakuchinja ambao ni muhimu kwa mapito ya wanyamapori wanaotoka katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire kuelekea HIfadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara ukiwa umevamiwa na baadhi ya wananchi wanaoendesha shughuli za kibinadamu katika wilaya ya Babati mkoani Manyara. Katikati ni Mkuu wa wilaya ya Babati, Mhe, Elizabeth Kitundu

Naibu Waziri wa...
10 years ago
Michuzi
NAIBU WAZIRI WA MAILIASILI NA UTALII AFUNGUA MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII YA KILIFAIR 2015



10 years ago
Vijimambo
NAIBU WAZIRI WA MAILIASILI NA UTALII,MOHAMED MGIMWA AFUNGUA MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII YA KILIFAIR 2015.



10 years ago
Dewji Blog07 Jun
Naibu Waziri wa Mailiasili na Utalii, Mohamed Mgimwa afungua maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Kilifair 2015



9 years ago
Dewji Blog07 Dec
HDP yakutanisha wadau wa sekta ya utalii katika mkutano wa pili wa kukuza sekta ya ukarimu na utalii
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Adelhelm Meru.
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Shirika la Kimataifa la Ukarimu na Utalii (HDP) kwa kushirikiana na Wamiliki wa Hoteli Tanzania (HAT) wamefanya mkutano wa kukutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya utalii kujadili mambo mbalimbali yanayohusu maendeleo ya sekta hiyo.
Akizungumzia mkutano huo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Adelhelm Meru amesema mashirika hayo yamefanya mkutano huo kwa awamu ya pili kwa ajili ya...
9 years ago
Michuzi
WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAFANYA MKUTANO NA WADAU WA SEKTA YA MALIASILI NCHINI KUJADILI MAENDELEO YA SEKTA HIYO

10 years ago
Mwananchi02 Sep
Wizi wa mtandao nchini watikisa sekta ya utalii
9 years ago
Dewji Blog24 Nov
Je Waziri wa Maliasili na Utalii ataweza kukabiliana na changamoto zinazoikabili sekta?
Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Siku chache zilizopita baada ya Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa kutangazwa, Tanzania tunatarajia Dk John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atatangaza rasmi baraza lake la Mawaziri. Kila sekta itakuwa imeshikiliwa na Mawaziri ambao Rais ameridhishwa nao katika kukidhi viwango vya kuendesha sekta hizo na katika kurudisha matumaini ya watanzania.
Kati ya Wizara muhimu zinazokuza uchumi wa nchi...