Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue azindua timu ya wataalam wa serikali wa kufanya mazungumzo katika mikataba ya gesi asilia na mafuta
![](http://2.bp.blogspot.com/-b8bK2UAAHgs/VUsWwt7jYQI/AAAAAAAHV0o/WIeSq-jwVto/s72-c/unnamed%2B(63).jpg)
Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania leo imezindua timu ya wataalam ambao wamechaguliwa kwa ajili ya kuwakilisha serikali katika mazungumzo ya mikataba ya gesi asilia na mafuta na kampuni za kimataifa ya gesi asilia na mafuta ili kuweza kuleta mikataba yenye manufaa makubwa kijamii na kiuchumi kwa ajili ya taifa la Tanzania na watu wake kwa ujumla. Timu hii ya wataalam inajumuisha watu 25 wenye utaalam mbali mbali waliochukuliwa kutoka ofisi na taasisi tofauti za serikali ili...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog06 May
Balozi Sefue azindua timu ya wataalam wa serikali wa kufanya mazungumzo katika mikataba ya gesi asilia na mafuta
Afisa Mtendaji Mkuu wa UONGOZI Institute...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nkLEPVQ6s9dmK35JT9Op0jsaCrmTPlN8NRTjrxbcnfZI9hFjXvaV7TE76l0KpWzGJ6rI0ziUeRd21t0gzwXBT0d1jrN7HtPY/PICHAYAMKUTANOWATAKWIMU.jpg?width=650)
KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE KUWA MGENI RASMI KATIKA MKUTANO WA WADAU WA TAKWIMU
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU KIONGOZI, BALOZI OMBENI SEFUE ATEMBELEA BANDA LA 'NHIF' KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA LEO
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-xsfNMw00nns/VaRA5S0TFrI/AAAAAAAHpgw/Oo3imtv-UIs/s72-c/unnamed%2B%252813%2529.jpg)
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue atembelea balozi wa Tanzania Uingereza jijini London
![](http://4.bp.blogspot.com/-xsfNMw00nns/VaRA5S0TFrI/AAAAAAAHpgw/Oo3imtv-UIs/s640/unnamed%2B%252813%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-kmKG1pZqxxQ/VaRA7bIsdXI/AAAAAAAHpg4/SdCEn9K7g3U/s640/unnamed%2B%252812%2529.jpg)
11 years ago
Dewji Blog28 May
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akutana na Rais wa Africare
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwa katika mazungumzo na Rais wa Taasisi ya Africare, Dkt Darius Mans, alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam jana Mei 27, 2014.
Kulia ni Mama Sekai P. Chikowero, Mkurugenzi Mwandamizi wa nchi za Tanzania, Rwanda na Uganda wa Africare ambayo ni taasisi kubwa ya maendelo kwa Afrika inayoendeshwa na Wamarekani wenye asili ya watu weusi. Bw. Mans yuko nchini kwa ziara ya kikazi ya siku nne.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akimlaki Rais...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU KIONGOZI,BALOZI OMBENI SEFUE ATEMBELEA BANDA LA 'CAG'
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-KusarCPa4WU/VlHEYP-pc6I/AAAAAAAIHy0/NPQwRoSCW9I/s72-c/mm.png)
Ratiba ya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue Hospitali ya Muhimbili kesho
![](http://1.bp.blogspot.com/-KusarCPa4WU/VlHEYP-pc6I/AAAAAAAIHy0/NPQwRoSCW9I/s640/mm.png)
Ziara hiyo ni kwa ajili ya kukagua utekelezaji wa maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli aliyeagiza fedha zilizochangwa ajili ya hafla ya wabunge zitumike kununulia vitanda vya wagonjwa katika hospitali hiyo.
Gerson MsigwaKaimu Mkurugenzi wa Mawasilino, IKULU
20 Novemba, 2015
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-_06Xmt4MjcY/U4Rp55wzWQI/AAAAAAAFldc/mnijGZS87x4/s72-c/unnamed+(41).jpg)
KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AKUTANA NA RAIS WA AFRICARE LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-_06Xmt4MjcY/U4Rp55wzWQI/AAAAAAAFldc/mnijGZS87x4/s1600/unnamed+(41).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-ezSYBLmDL0c/U4Rp21jTiZI/AAAAAAAFldU/mVteph3buZY/s1600/unnamed+(40).jpg)
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA TAKWIMU DAR ES SALAAM