Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbowe: Siyo lazima Katiba ipatikane sasa

Mwenyekiti wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Freeman Mbowe amesema Katiba inayoandaliwa siyo lazima ipatikane kwa sasa kutokana na hofu ya kukosekana kwa maridhiano yanayoendelea kujitokeza miongoni mwao na wajumbe wanaosimamia muundo wa serikali mbili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

‘Katiba ipatikane kabla ya Rais ajaye’

MJUMBE wa Bunge Maalumu, Askofu Amos Mhagache amemwomba Rais Jakaya Kikwete aache amekamilisha mchakato wa kupata Katiba mpya.

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda Katiba ipatikane kabla ya Rais mpya

>Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema atafurahi kuona mchakato mzima wa Katiba ukikamilika kabla rais mpya hajapatikana katika Uchaguzi Mkuu ujao

 

10 years ago

Mwananchi

Kinana: Siyo lazima Ukawa warejee bungeni

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema mazungumzo ya kusaka mwafaka kuhusu mchakato wa Katiba Mpya baina ya chama chake na vyama ambavyo wajumbe wake wamesusia Bunge Maalumu, hakulengi kuwalazimisha kurejea katika Bunge hilo.

 

10 years ago

GPL

HIVI UNAJUA SIYO LAZIMA ALIYEKUTOLEA MAHARI AKUOE?

Katika ulimwengu wa sasa ndoa ni kitu cha heshima. Mwanamke kupata mwanaume wa kumuoa ni jambo la faraja lakini pia mwanaume kumpata mke bora ni kitu kinachoongeza furaha katika maisha.Hata hivyo, suala la kuoana si la kukurupuka, ni suala linalotakiwa kuchukua muda ambapo wawili waliotokea kupendana hupata nafasi ya kuchunguzana katika mambo kadha wa kadha. Kabla ya kufikia hatua ya kuoana, ni lazima mtaanza kuwa marafiki wa...

 

10 years ago

GPL

SIYO LAZIMA UANZE KUFANIKIWA WEWE, TIA MOYO WENGINE!

Ni wiki nyingine tunakutana kupitia safu hii ya Saikolojia, Maisha na Wewe. Natumaini kuwa umzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida. Mimi namshukuru Mungu kwa kila jambo lakini kikubwa nimshukuru kwa kunifanya kuwa hivi nilivyo leo.
Ngugu zangu najua fika kwamba kila mtu anatamani mafanikio, kama wapo ambao wanaishi ili mradi siku zinakwenda ni wachache sana! Hii ni kwa sababu mafanikio ni kwa kila...

 

11 years ago

Michuzi

Viongozi wa Siasa Muache Uswahili mtupatie katiba ya watu wote siyo ya CCM,AU CHADEMA,AU CUFU TUNATAKA KATIBA.

Mheshimiwa michuzi tunashukulu sana kwa kazi yako ya kutujulisha yanayoendelea TANZANIA leo naomba unipe nafasi niweke ya moyoni mwangu na maoni yangu kuhusu huu mstakabali wa kupata katiba ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, mengi yamekuwa yakisemwa sana kuhusu hii katiba au ni muundo ghani wa muungano tunaoutaka,watu wengi na wana siasa wamesahu kwamba muungano huu na katiba hii ya zamani ndio umetufanya tuwe na undungu  na pia tuwe na amani mpaka hapa tulipo watu...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Teknolojia ya simu ya video imekuwa ya lazima sasa

Mlipuko wa virusi vya corona umebadili namna ya ufanyaji kazi au biashara kwa watu wengi kwa watu kulazimika kutumia teknolojia ya simu ya video.

 

10 years ago

Mwananchi

Valentine ya sasa, siyo upendo, ni mapenzi?

Leo ni siku ambayo Watanzania wataungana na watu wote duniani kuadhimisha Siku ya Wapendanao, kwa upande mwingine siku hii ikiangaliwa tofauti na Watanzania walio wengi hasa vijana.

 

11 years ago

Habarileo

Kinana: Katiba mpya ni lazima

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman KinanaLICHA ya ‘madudu’ yanayofanywa na baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Katibu Mkuu CCM, Abdulrahman Kinana, amewataka Watanzania kuwa watulivu akisema ni lazima Katiba mpya itapatikana, huku akisisitiza watambue kuwa Katiba hiyo si mwarobaini wa matatizo yaliyopo sasa hapa nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani