Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIYO LAZIMA UANZE KUFANIKIWA WEWE, TIA MOYO WENGINE!

Ni wiki nyingine tunakutana kupitia safu hii ya Saikolojia, Maisha na Wewe. Natumaini kuwa umzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida. Mimi namshukuru Mungu kwa kila jambo lakini kikubwa nimshukuru kwa kunifanya kuwa hivi nilivyo leo.
Ngugu zangu najua fika kwamba kila mtu anatamani mafanikio, kama wapo ambao wanaishi ili mradi siku zinakwenda ni wachache sana! Hii ni kwa sababu mafanikio ni kwa kila...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

HANA WIVU NA WEWE...HAKUFUATILII...MESEJI MPAKA UANZE WEWE... HUYO ANA MALENGO YAKE!

JAMANI pole na siasa. Naona zimepamba moto karibu kila kona ya nchi yetu ya Tanzania. Basi, wenye siasa zao tuwaachie, sisi tuendelee na mambo yetu.Wiki hii nina mada nzuri sana kwa wawili wanaopendana. Ningependa kila mmoja asome kwa umakini na ajue nini cha kufanya baada ya hapo. Mada inasema...hana wivu na wewe...hakufuatilii...meseji mpaka uanze wewe...Huyo ana malengo yake! Mpenzi wa hivi anaweza hata akawa anakulamba miguu...

 

10 years ago

GPL

WEWE SIYO MZURI? NANI KAKUDANGANYA!

BINADAMU tumeumbwa kwa namna tofauti sana, ingawa kibaolojia, wote tuko sawa, bila kujali kama ni Wahindi, Waarabu, Wazungu, Waafrika, Wachina na makabila yote, siyo warefu, wafupi, wembamba wala wanene. Tunatofautiana akili, uwezo wa kuelewa, uwezo wa kukabili changamoto na hata jinsi ya kuishi kwenye jamii inayotuzunguka. Kuna watu wengine hawaamini kama wao wako vile walivyo kwa sababu yao wenyewe, bali wanamsingizia Mungu....

 

10 years ago

Mwananchi

Kinana: Siyo lazima Ukawa warejee bungeni

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema mazungumzo ya kusaka mwafaka kuhusu mchakato wa Katiba Mpya baina ya chama chake na vyama ambavyo wajumbe wake wamesusia Bunge Maalumu, hakulengi kuwalazimisha kurejea katika Bunge hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbowe: Siyo lazima Katiba ipatikane sasa

Mwenyekiti wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Freeman Mbowe amesema Katiba inayoandaliwa siyo lazima ipatikane kwa sasa kutokana na hofu ya kukosekana kwa maridhiano yanayoendelea kujitokeza miongoni mwao na wajumbe wanaosimamia muundo wa serikali mbili.

 

9 years ago

Mwananchi

Lugha unayowasiliana na wengine inakutambulisha wewe ni nani

Unaweza kukutana na mtu ndani ya daladala ukamgusa kidogo tu ukazua nongwa hadi ukashushiwa zigo la maneno mabaya? Wakati mwingine njiani au kwenye msongamano wa watu ukamkanyaga mtu kidogo ugomvi wake hapo kila aliyewazunguka atajua kuna mtu kakanyagwa. Hivi ushawahi kujiuliza ni kwanini?

 

10 years ago

GPL

HIVI UNAJUA SIYO LAZIMA ALIYEKUTOLEA MAHARI AKUOE?

Katika ulimwengu wa sasa ndoa ni kitu cha heshima. Mwanamke kupata mwanaume wa kumuoa ni jambo la faraja lakini pia mwanaume kumpata mke bora ni kitu kinachoongeza furaha katika maisha.Hata hivyo, suala la kuoana si la kukurupuka, ni suala linalotakiwa kuchukua muda ambapo wawili waliotokea kupendana hupata nafasi ya kuchunguzana katika mambo kadha wa kadha. Kabla ya kufikia hatua ya kuoana, ni lazima mtaanza kuwa marafiki wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vipi kila ukutanapo na watu wengine wewe ni ombaomba tu?

"OOHOOO, afadhali nimekuona, sasa nitapata elfu ya karibu" hayo ni baadhi ya maneno ambayo siku hizi yamekuwa ni kama sala kwa jinsi yalivyo ya kawaida kutamkwa na baadhi ya watu...

 

11 years ago

Michuzi

UINGEREZA YAFUNGASHIWA VIRAGO, ITALY TIA MAJI TIA MAJI KWA KUPIGWA 1-0 NA COSTA RICA

 Na Sultani Kipingo Wakiwa wameshinda mara mbili katika michezo yao ya kwanza ya Kombe la Dunia 2014, Costa Rica wamedaka tiketi ya kwenda katika raundi ya mtoano ya 16 huku Brazil.

 Baada ya kufanya maajabu kwa kuifunga Uruguay katika mchezo wao wa fungua dimba, Costa Rica wamaeitungua Italy 1-0 leo katika mchezo mkali wa kundi D katima uwanja wa Pernambuco mjini Recife.  Goli lao la ushindi limepatikana dakika chache kabla ya mapumziko pale kiungo wao mahiri Bryan Ruiz alipotia ndinga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani