Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vipi kila ukutanapo na watu wengine wewe ni ombaomba tu?

"OOHOOO, afadhali nimekuona, sasa nitapata elfu ya karibu" hayo ni baadhi ya maneno ambayo siku hizi yamekuwa ni kama sala kwa jinsi yalivyo ya kawaida kutamkwa na baadhi ya watu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Lugha unayowasiliana na wengine inakutambulisha wewe ni nani

Unaweza kukutana na mtu ndani ya daladala ukamgusa kidogo tu ukazua nongwa hadi ukashushiwa zigo la maneno mabaya? Wakati mwingine njiani au kwenye msongamano wa watu ukamkanyaga mtu kidogo ugomvi wake hapo kila aliyewazunguka atajua kuna mtu kakanyagwa. Hivi ushawahi kujiuliza ni kwanini?

 

10 years ago

GPL

SIYO LAZIMA UANZE KUFANIKIWA WEWE, TIA MOYO WENGINE!

Ni wiki nyingine tunakutana kupitia safu hii ya Saikolojia, Maisha na Wewe. Natumaini kuwa umzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida. Mimi namshukuru Mungu kwa kila jambo lakini kikubwa nimshukuru kwa kunifanya kuwa hivi nilivyo leo.
Ngugu zangu najua fika kwamba kila mtu anatamani mafanikio, kama wapo ambao wanaishi ili mradi siku zinakwenda ni wachache sana! Hii ni kwa sababu mafanikio ni kwa kila...

 

10 years ago

GPL

KWA NINI UACHWE WEWE KILA SIKU?

Mungu ni mwema! Leo kama ada tunakutana mpenzi msomaji wangu wa Love & Life katika kilinge chetu hiki kwa lengo la kuelimishana na kukumbushana masuala ya mahusiano ambayo yametawala kwa kiasi kikubwa maisha yetu. Leo tutazungumzia kuhusu tatizo linaloonekana kukithiri na kuwatatiza watu wengi ambao wamejaribu kuingia kwenye uhusiano wa mapenzi na kujikuta wakiambulia maumivu ya kuachwa kila mara na watu waliowakabidhi mioyo yao...

 

10 years ago

GPL

OYA MASTA UPENDWE NA KILA MTU KWANI WEWE PESA?

Oyooo…Mambo vipi masela? Kitaa hii barida. Ama nini? Tudei kama nina mizuka f’lani hivi. Ndo kama hivo makachaa nimeshatokelezea kukisanua hapa jamvini aisee arifu. Kwani kuna kwikwi? Haina kwere chaliiangu. Hivi mazee wana hawana mastori mengine ya kupiga mawe au mshiko kwa njia freshi? Maana masela taimu yote hapa kwa kijiweni kwetu chitichati kibwena ni za mastori fekelo kama ishu za mashori, malavu, kitu cha soka...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Je kujitenga na watu ni kupi na kunasaidia vipi kujikinga na virusi vya corona?

Kila mtu anatakiwa kujizuia kuonana na watu kwa shughuli ambazo si za lazima. Waweza hata kufanya mazoezi ikiwa utakaa mita 2 na wengine.

 

11 years ago

BBCSwahili

Watu wengine 4 wauawa Mombasa

Watu wenye bunduki waliokuwa kwenye pikipiki wamewaua takriban watu wanne katika mji ulioko pwani ya Kenya Mombasa.

 

10 years ago

StarTV

Watu sita wafariki, wengine kujeruhiwa katika ajali Tunduma.

Na Amina Said,

Mbeya.

 

Watu sita wamefariki papo hapo na wengine kadhaa kujeruhiwa vibaya katika ajali iliyotokea leo alasiri eneo la mlima Chengula Tunduma mkoani Mbeya.

 

Ajali hiyo imehusisha  magari matatu, basi ndogo aina ya Toyota costa T 203 ARZ iliyogongana uso kwa uso  na  basi la kampuni ya Shalom express  wakati costa hiyo ikijaribu kulipita lori aina ya TATA mali ya Usangu Logistic lenye namba T 789 AZL.

 

Majeruhi wamepelekwa kwenye hospitali ya serikali iliyopo Vwawa...

 

11 years ago

Mwananchi

Je una uwezo wa kushawishi watu wengine waafikiane na mawazo yako?

Nilipofikiria kuandika makala kuhusu uwezo wa kushawishi watu wengine wakubaliane na mawazo yetu niliingiwa na shaka kuwa huenda baadhi ya watu wasione umuhimu wa mtu kuwa na stadi kama hizo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani