Coronavirus: Je kujitenga na watu ni kupi na kunasaidia vipi kujikinga na virusi vya corona?
Kila mtu anatakiwa kujizuia kuonana na watu kwa shughuli ambazo si za lazima. Waweza hata kufanya mazoezi ikiwa utakaa mita 2 na wengine.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili04 Apr
Virusi vya corona: Je kuvua nguo zote unapoingia nyumbani na kusafisha vyakula ulivyonunua kunasaidia kukabiliana na virusi hivi?
Wakati huu virusi vya corona ni njia gani sahihi ya kuosha matunda, mbaogamboga na hata nguo?
5 years ago
BBCSwahili07 Apr
Virusi vya corona: Je vipimo vya kugundua virusi vya corona vinafanya kazi vipi?
Vipimo vya kugundua virusi vya corona ni vipi na vinafanyakazi namna gani?
5 years ago
BBCSwahili21 Apr
Virusi vya Corona: Rais wa Sierra Leone kujitenga baada ya mlinzi kuambukizwa virusi
Sierra Leone mpaka sasa ina wagonjwa 43 wa virusi vya corona.
5 years ago
BBCSwahili10 Mar
Coronavirus: Je, virusi vya corona vimewatengenisha watu na imani zao?
Taratibu za ibada kwenye makanisa, misikiti na mahekalu pia zimebadilishwa katika jitihada za kukabiliana na kusambaa kwa virusi vya corona.
5 years ago
BBCSwahili29 Mar
Coronavirus: Jinsi virusi vya corona vinavyowaathiri watu kiakili
Maambukizi ya virusi vya corona yalipotangazwa kuwa janga la dunia mapema mwezi huu, mataifa mengi duniani yaliamua kuchukua hatua ambazo waliamini kwamba yatawakinga raia wao kutopata maambukizi ya ugonjwa huo.
5 years ago
BBCSwahili31 May
Virusi vya corona: Je mfumo wa maisha ya shule na vyuo utabadilika vipi kutokana na virusi Tanzania?
Nchini Tanzania, maelfu wa wanafunzi wa vyuo na wale wa sekondari wanaomaliza kidato cha sita hii leo wameanza rasmi masomo yao baada ya kuwepo katika likizo ya ghafla kwa muda wa miezi miwili iliyosababishwa na kutokea kwa janga la virusi vya corona.
5 years ago
BBCSwahili07 Apr
Virusi vya corona: Kutokaribiana na kujitenga ni nini haswa?
Kila mmoja anastahili kuepuka kukaribiana na mwengine na kusalia nyumbani kadiri ya uwezo wake.
5 years ago
BBCSwahili27 Mar
Coronavirus: Je, unawatambua watu walio hatarini kuambukizwa virusi vya corona?
Virusi vya corona vinaweza kumuathiri mtu yeyote, lakini watu wenye maradhi fulani pamoja na wazee ni rahisi kupata maambukizi ya ugonjwa huo.
5 years ago
BBCSwahili05 Jun
Virusi vya corona: Tutaweza vipi kulinda bayoanuwai wakati wa corona?
Wakati huu wa virusi vya corona bayoanuwai na mazingira kwa ujumla vimeathirika. Lakini je bayoanuwai inaweza kulindwa vipi wakati huu wa virusi corona?. Wataalamu wanaeleza
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania