Valentine ya sasa, siyo upendo, ni mapenzi?
Leo ni siku ambayo Watanzania wataungana na watu wote duniani kuadhimisha Siku ya Wapendanao, kwa upande mwingine siku hii ikiangaliwa tofauti na Watanzania walio wengi hasa vijana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLVALENTINE’S DAY INAYOSHEREHEKEWA LEO, SIYO ILIYOKUSUDIWA!
LEO ni Sikukuu ya Wapendanao. Siku maalum kwa ajili ya kuoneshana mapenzi ya dhati. Ni siku muhimu sana yenye maana kubwa kwa kila mtu, maana upendo hauchagui. Si kwa wapenzi tu bali hata kwa familia. Maana halisi ya siku yenyewe inaharibiwa na watu wanaotumia fursa ya Valentine’s Day kufanikisha matakwa ya misukumo ya tamaa za miili yao. Kama unabisha nenda gesti ukaulizie chumba leo, kila mahali utakuta kumejaa! Ndiyo...
10 years ago
Vijimambo02 Feb
11 years ago
GPLLULU AKUMBUKA MAPENZI YA KANUMBA VALENTINE’S DAY
Stori:Â Mayasa Mariwata
WAKATI kesi yake juu ya kifo cha aliyekuwa nyota wa filamu Bongo, Steven Kanumba ikianza kurindima leo katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametoa la moyoni akikumbuka mapenzi ya jamaa huyo aliyetangulia mbele za haki. Elizabeth Michael ‘Lulu’. Lulu alifunguka hayo mwishoni mwa wiki iliyopita, Siku ya Wapendanao (Valentine’s...
10 years ago
GPL10 years ago
GPLMAPENZI SIYO HISIA, NI UHALISIA!
KUNA watu wanaweza kupatwa na mshangao kwa kichwa cha habari hapo juu. Watajikuta wakishangaa kwa sababu siku zote wamekuwa wakielewa kuwa mapenzi ni hisia, kwa sababu yanamwendesha mtu vile anahisi. Leo nataka kuwahakikishia kuwa kamwe, jambo hili siyo hisia, bali ni uhalisia! Inaweza kuwa vigumu kuelewa mara moja maana yangu, lakini kuna mifano rahisi na mifupi ninaweza kukupa ili uelewe maana yangu. Kunywa maji wakati ukiwa na...
5 years ago
MichuziKAMPUNI YA MAFUTA YA TOTAL YAHAMASISHA UPENDO KWA KUTOA ZAWADI YA 'VALENTINE DAY' KWA WATEJA
Meneja Maduka, Chakula na Huduma wa Kampuni ya Total nchini Tanzania Jane Mwita akitoa zawadi ya ua kama ishara ya upendo kwa wateja wao ambao wamefika kujaza mafuta katika Kituo cha Mafuta cha Total cha Mliman City jijini Dar es Salaam.Kampuni hiyo imeamua kusambaza upendo katika siku ya Valentine.
Meneja wa Kituo cha Mafuta cha Total Mliman City jijini Dar es Salaam Luqman Salum akitoa zawadi ya ua kwa mteja wao ambaye amefika kujaza mafuta kwenye kituo hicho leo siku ya Valentine...
9 years ago
Mwananchi05 Sep
Mapenzi siyo kitu muhimu kwangu, hapa kazi tu
Anajiita Angelina Jolie wa Bongo na hata ukimtazama unaweza kukubaliana naye. Mbali ya kutojiremba kupitiliza, bado anafanana na mwigizaji huyo wa Marekani kwa mbali.
11 years ago
Mwananchi20 Apr
Mbowe: Siyo lazima Katiba ipatikane sasa
Mwenyekiti wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Freeman Mbowe amesema Katiba inayoandaliwa siyo lazima ipatikane kwa sasa kutokana na hofu ya kukosekana kwa maridhiano yanayoendelea kujitokeza miongoni mwao na wajumbe wanaosimamia muundo wa serikali mbili.
10 years ago
Vijimambo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania